johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata mimi sijasema wako sahihi kwenye jambo gani ππππJamani askofu kasema anaunga mkono uwekezaji.
Hajasema uwekezaji gani ila watu mnamlisha maneno.
Pia mapendekezo yao bado hayajafanyiwa kazi.yasipofanyiwa kazi lazima waraka utoke
NAKAZIAHuu mpasuko ambao unatengenezwaa.. isipotumika hekima badae itakuwa na picha picha nyingi sana
Kwani Kanisani unamfata Askofu?me ni kkkt ndo mana nimeacha kwenda kanisan kanisa limejaa wanafiki weng kuanzia maskofu⦠wachungaji na wainjilist mpk wazee wa kanisa wamejawa na unafik
Mtu analimega Taifa na kuuza kipande kimoja kimoja, halafu anasema hakuna wa kuligawa!Bila kupepesa macho, Rais Samia ameongea haya kanisani KKKT leo
---
Niliamua kunyamaza na naendelea kunyamaza. Hakuna mwenye misuli ya kuligawa Taifa.
Hawataki kuburuzwa na TECHili ndo kanisa sasa. Ndo mana sikuwaskia Maaskofu wao kwenye escrow!
Hakuna mahali askofu Shoo amesema wanaunga mkono mkataba wa Dpw. Kasema wanaungamkono uwekezaji. Kuna watu wanajaribu kupotosha jamii hapa, kwamba kkkt wameunga mkono mkataba. Sio kweli. Enyi watu, sikilizeni hotuba ya askofu wenyeweshoo asituletee ujinga mimi kama mlutheli USHARIKA wa SINZA , naunga mkono waraka wa WAROMA
Kama hukujaaliwa akili na hekima poleIlikuwa mapema sana kumpa uongozi wa nchi mwanamke! Mwanamke uwa hajali chochote linapofikia suala la maslahi yake! Hata kama ni kusambaratisha familia yake na ndoa yake. Uyu mama ameshapokea takrima ya muarabu hawezi kusikia chochote tena hata kama ni kuuza kitanda anacholalia yeye na mumewe.
Hapa Askofu Shoo ni kama amejieleza ni kwa nini K.K.K.T wao hawajaandika WarakaMsikilize hapa short clip yeye mwenyewe.
Hawa chawa wamejipanga kupotosha watu.
Mbele Ya Rais Samia, Askofu Shoo Azungumzia Sakata la Bandari. 'Jambo Hili Linahitaji Hekima Kubwa'
View: https://youtu.be/qJvAMuLCH3Y
Kung'ang'ana na mikataba ya biashara ya nchi ndiyo ilikua kazi ya yesu!?Suala la Bandari ni suala la Uchumi na ulinzi wa nchi yetu!
Na wanateseka kweliNa huu ndio ulikuwa ushauri wangu Kwa Mhe. Rais Rais Samia usiongee lolote juu ya suala la DP World kwa sasa. Ukimya wake unawatesa mno, acha waendelee kuteseka huku ujasiri na matokeo vikikubeba
Shoo kuna kitu atakuwa ameomba serikaliniMadhehebu ya Dini yana Katiba zao hivyo kila jambo hulitazama kulingana na Katiba zao zinavyosema
Nampongeza Sana Askofu mkuu Dr kwa Kusoma alama za nyakati
Wataendaje Wasipopelekwa?!
Mungu ni mwema wakati wote π
Shoo tarehe 23 anaingia kwenye uchaguzime ni kkkt ndo mana nimeacha kwenda kanisan kanisa limejaa wanafiki weng kuanzia maskofu⦠wachungaji na wainjilist mpk wazee wa kanisa wamejawa na unafik
Kwa ujumla msimamo wa Dr. Shoo ni mbaya zaidi na wa hatari sana kwa mkataba.Madhehebu ya Dini yana Katiba zao hivyo kila jambo hulitazama kulingana na Katiba zao zinavyosema
Nampongeza Sana Askofu mkuu Dr kwa Kusoma alama za nyakati
Wataendaje Wasipopelekwa?!
Mungu ni mwema wakati wote π
Shoo hagombei tena labda kama watafanikiwa kurekebisha Katiba kabla ya UchaguziShoo tarehe 23 anaingia kwenye uchaguzi