Wekeni clip ya alichokiongea askofu wa KKKT kuanzia mwanzo hadi mwisho ili wanajukwaa wachambue kwa weledi sio kudonoa kipande halafu unakitafsiri mwenyewe
 
Ndio alikuwa na Jazba si kazoea mipasho kama wazanzibari wenzake, dawa ya TEC ilimuingia.
KKT hawajamuunga mkono kama nafikiri hivyo atakuwa na uelewa mdogo sana hata mwakilishi wa Marekani alionekana kutumia diplomasia ya hali ya juu
 
Ni statement za public relations huwa zinawekwa kufurahisha pande zote yaani usimkwaze Samia lakini vile vile usikwaze wanaopinga DP world!! Ukiweka Sasa na media zetu zilivyo za ovyo basi ndio headline zinakua out of context
 
Kunao unafiki mwingi Afrika ndio maana hatuendelei.. siku dar ikigeuka kuwa Kinshasa tutaelewana
 
Roman Catholic ni wezi sana wanapitisha sana bidhaa bila ushuru
 
Aache kujifariji ..kwani mataifa yanayogawanyika yalikuwaje? Raisi alizuia au majira yalifika?...hii ni sawa sawa na kusema hakuna mtu wa kunitoa madarakani...Mungu pekee akimua haichukui hata sekunde.
 
Bahati mbaya wenye akili kubwa ya kukuelewa ni wachache sana. Askofu Shoo kapigilia msumari pale pale kwenye kidonda.

Kwa kuongezea akakazia kuwa ukosoaji wa serikali usitafsiriwe na wakurupurukaji kwa tuhuma hovyo za kuchanganya dini na siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…