Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa hilo.

View attachment 2724056

VIDEO:
View attachment 2724093
Wekeni clip ya alichokiongea askofu wa KKKT kuanzia mwanzo hadi mwisho ili wanajukwaa wachambue kwa weledi sio kudonoa kipande halafu unakitafsiri mwenyewe
 
Ndio alikuwa na Jazba si kazoea mipasho kama wazanzibari wenzake, dawa ya TEC ilimuingia.
KKT hawajamuunga mkono kama nafikiri hivyo atakuwa na uelewa mdogo sana hata mwakilishi wa Marekani alionekana kutumia diplomasia ya hali ya juu
 
Issue ya Dp world amesema wazingatie ushauri wao. Hajasema wanaunga mkono uwekezaji wa Bandari huu ni uongo na naona same message mnaizungusha mitandaoni.

BTW hili pia limechangiwa na Dr Shoo kushindwa kunyoosha maelezo. Obvious hotuba ya Shoo leo itatumika vyema mitandao yote [emoji1787]
Ni statement za public relations huwa zinawekwa kufurahisha pande zote yaani usimkwaze Samia lakini vile vile usikwaze wanaopinga DP world!! Ukiweka Sasa na media zetu zilivyo za ovyo basi ndio headline zinakua out of context
 
Kunao unafiki mwingi Afrika ndio maana hatuendelei.. siku dar ikigeuka kuwa Kinshasa tutaelewana
 
Roman Catholic ni wezi sana wanapitisha sana bidhaa bila ushuru
 
Aache kujifariji ..kwani mataifa yanayogawanyika yalikuwaje? Raisi alizuia au majira yalifika?...hii ni sawa sawa na kusema hakuna mtu wa kunitoa madarakani...Mungu pekee akimua haichukui hata sekunde.
 
Maoni ya Dr Shoo yamemweka mtegoni zaidi Samia. Kumbuka TEC wamesema walimwona Rais wakiwa na wenzao lakini maoni yao yakapuuzwa. Leo Shoo kasema walimpa maoni na bado Wana Imani atatekeleza. Huu ni mtego mkubwa Sana labda Samia aseme ameuchukua na ameufanyia kazi ili ionekane hakuwaogopa TEC Ila amechukua ushauri wa DR SHOO.
Bahati mbaya wenye akili kubwa ya kukuelewa ni wachache sana. Askofu Shoo kapigilia msumari pale pale kwenye kidonda.

Kwa kuongezea akakazia kuwa ukosoaji wa serikali usitafsiriwe na wakurupurukaji kwa tuhuma hovyo za kuchanganya dini na siasa.
 
Back
Top Bottom