Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Even meJapokua mimi mwenyewe nimrutheran ila huu ujinga sikubaliani nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Even meJapokua mimi mwenyewe nimrutheran ila huu ujinga sikubaliani nao
Wekeni clip ya alichokiongea askofu wa KKKT kuanzia mwanzo hadi mwisho ili wanajukwaa wachambue kwa weledi sio kudonoa kipande halafu unakitafsiri mwenyeweKanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.
Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa hilo.
View attachment 2724056
VIDEO:
View attachment 2724093
Homa ya uchaguzi 23Nakubaliana na ww sio kwa unafiki wa leo
Safi kabisa, namsikiliza sasa hivi Kuna clip inasambaa nimeipendaShoo amesema watakapo Anza kutoa maoni Yao wasianze kusema wanachanganya dini na siasa.
KKT hawajamuunga mkono kama nafikiri hivyo atakuwa na uelewa mdogo sana hata mwakilishi wa Marekani alionekana kutumia diplomasia ya hali ya juuNdio alikuwa na Jazba si kazoea mipasho kama wazanzibari wenzake, dawa ya TEC ilimuingia.
Ni lini?Kuna kitu kitafuata,Subiri uchaguzi wa Mkuu KKKT upite kwanza,hapo ndio utasikia wanachanganya dini na siasa
Ni statement za public relations huwa zinawekwa kufurahisha pande zote yaani usimkwaze Samia lakini vile vile usikwaze wanaopinga DP world!! Ukiweka Sasa na media zetu zilivyo za ovyo basi ndio headline zinakua out of contextIssue ya Dp world amesema wazingatie ushauri wao. Hajasema wanaunga mkono uwekezaji wa Bandari huu ni uongo na naona same message mnaizungusha mitandaoni.
BTW hili pia limechangiwa na Dr Shoo kushindwa kunyoosha maelezo. Obvious hotuba ya Shoo leo itatumika vyema mitandao yote [emoji1787]
Anabadili sheria ili haiuze nchi kwa waarabu kama keki halafu anasema hakuna wa kuligawa Taifa? kweli?
Bahati mbaya wenye akili kubwa ya kukuelewa ni wachache sana. Askofu Shoo kapigilia msumari pale pale kwenye kidonda.Maoni ya Dr Shoo yamemweka mtegoni zaidi Samia. Kumbuka TEC wamesema walimwona Rais wakiwa na wenzao lakini maoni yao yakapuuzwa. Leo Shoo kasema walimpa maoni na bado Wana Imani atatekeleza. Huu ni mtego mkubwa Sana labda Samia aseme ameuchukua na ameufanyia kazi ili ionekane hakuwaogopa TEC Ila amechukua ushauri wa DR SHOO.