Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,094
- 1,503
Wewe jamaa acha mihemuko kwamba xi atafanywaje.Mkuu hii amefyeka Kila kitu wote walikuwa kwenye compound moja.
Halafu Kuna wajinga wanakuja na hoja zao za China. Wachina ni wachumba tu na sasa huyo Xi akae rada. He is next.
Ohhooo mwenzio keshawahi bikra 72 na keshaanza kuzishughulikia kabisa
SIo ngoja muone..iran keshashikwa manyonyo uko..😃😃😃😃Ngoja tuone.
Unaambiwa uko mabikra wanalaumu USA na Israel kumpeleka khamenei mapema..maana anawashughulikia kwa hasira ya kuwahishwa mbinguniTayari Media kubwa zimetangaza
Kashaenda KUKUTANA na Mabikira 72
Ushashiba zako kande na chemi cola unaongea lolote😃😃Xi na Trump nani mwenye mdomo?
Hakuna taifa la kuitetemesha China au Raisi wa China
Wakisikia USA wanafikiria iko kama Tanzania. USA ni mataifa 50 yenye uchumi imara, teknolojia ya hali ya juu yaliamua kuungana na kuendesha utawala wao kidemokrasia. Hizi nchi baada ya kuungana ndo yanaitwa majimbo ya Amerika. Hayo maguvu ya marekani ni ya nchi 50 halafu unataka Irani kainchi kamoja kaliko na jamii zinazotofautiana kisiasa ndo kadundane na USA.Watu hawajui vizuri historia ya kuibuka USA , na kwanini ipo hapo
Busu la Kenge somaaaa hiyoooo“Hizi taarifa za kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa nadhani zitakuwa na ukweli ndani yake, ameuwawa yeye pamoja na Viongozi wengi wa juu ambao ni Wafanya maamuzi wa Iran, kuhusu nani atamrithi Khamenei nadhani watanipigia simu kuniuliza nani nataka awe Kiongozi wa Iran”
- Donald Trump, Rais wa Marekani.
Nenda kaipambanie uwahi mito ya kahawaHuu ni upuuzi wa Hali ya juu sana Yani marekani anaamua tu kumuua mkuu wa nchi nyingine kwa mamlaka Gani aliyo nayo? Iran msikubali ipite hivohivo atazoea huyu
Ooh kumbe mmemtunza ndani kwenuHata Osama walidai wamemuua kumbe bado yupo hai
End of an Era.Hatari sana.
Hatimaye Khamenei ameanguka.
Wambie wanafiki wakubwa BAKWATAMnoshabikia vita hivi ni sawa sawa kushabikia mauaji ya 0ct hmna tofauti hlf unafiki umewajaa
Hata wale wa October 29 walistahili kuuliwa tu. Unachomaje miundombinu ya Serikali? Halafu tukuchekee??Mnoshabikia vita hivi ni sawa sawa kushabikia mauaji ya 0ct hmna tofauti hlf unafiki umewajaa
Acha akalombe mabikra 72 huko ahera
Kwa miaka takribani miwili hivi vimeibuka vionline media vinajaribu sana kuushusha ukuu wa Marekani kiuchumi na kijeshi nadhani sasa jibu watakuwa wamelipata. Marekani na Mossad ni mara chache sana wakekosea target. Hizi media zimekuwa zikipiga peopaganda za uongo huku wakijua watu wengi ni wavivu wakutafuta taarifa pengine kwa ajili ya lugha. Sasa sijiu watawaambiaje wafuas wao.Kama hii habari itakua kweli basi kila goti litapigwa kwa marekani
Hawa mbwa ni nyoko wanatisha vibaya mnooo
Mungu humpa ukuu anayayemtumainia.Mungu fundi Sana kuifanya USA kuwa mbabe wa dunia.
Kwamba ni nani kuuawa na Marekani? Itakuwa ni AI.Huu ni upuuzi wa Hali ya juu sana Yani marekani anaamua tu kumuua mkuu wa nchi nyingine kwa mamlaka Gani aliyo nayo? Iran msikubali ipite hivohivo atazoea huyu
Vipi upo?Uongo khamenei mzima we umeiona picha yeyote ya mzoga wake? Israel walipomuua sinwar haikupita nusu saa walionesha mwili wake Leo wamuue kiongozi wa Iran wasimuoneshe unaamini hilo? Labda wapo busy kutengeneza AI 🤣🤣
Mkuu wengi hawalijui hili wengi hawalijui.Kujificha wana jificha sana tu.
Shida Kuna midude ina itwa bunker Buster iyo ukienda peponi Bi Nusrah na kibabu Ali khamein watakueleza shughuli yake.