..ndio umeigundua leo, ulipaswa ujue kuwa "dua la kuku halimpati mwewe", ona sasa badala ya "mkono wa Zitto" kuanguka kama wahenga walivyosema tunaona "mchimba machimbo" anaweweseka mwenyewe", inatia huruma zaidi pale unapoona kumbe "mchimba mashimo" mwenyewe masikini ya Mungu ata bado hajaanza kutembea, hapo sasa...Falsafa ya fisi kusubiri mkono wa binadamu uanguke
Mjadala umeonyesha Ben Saanane kuwa mtuhumiwa mkuu. Nadhani Zitto na wapambe wake wanatakiwa kuandika barua ya malalamiko kwa katibu mkuu juu ya Ben kama wana ushahidi, kuliko hivi wanavyofanya kumtuhumu bila kuweka ushahidi wa yeye kuhusika na barua yake.
Ni kweli mkuu,soma hii posti ya Lukolo utaona ametumia procces niliyoizungumzia ya "elimination"
So possibility ya barua kuwa original ni "eliminated",kuna uwezekano aliyeiweka hapa aliiformulate baada ya kusikia contents zake pengine kwenye kikao.
Again,"pengine"
Mkuu,
Mimi nina nidhamu.Siwezi kuingia vitani na kiongozi wangu.....
Ninajikita zaidi kushirikiana na wenzangu kuijenga Zaidi Chadema.
Mkuu twende polepole na kauli ya Zitto kuhusu kirusi, Ameandika hivi........Lolote lile linawezekana banaaa....Kumbuka kikulacho kinguoni mwako...Shibuda anaweza kutaka kujionyesha mbele ya jamii ya Watanzania kwamba hayuko karibu na kiongozi yeyote yule wa CHADEMA lakini si ajabu ndiye mratibu mkubwa wa mikakati ndani ya CHADEMA ili kukisambaratisha. Juhudi za Shibuda zinaeleweka kwa miaka mingi sasa.
Hapa ni kwamba ana uhakika kuna kirusi ndani ya Chama.....kwamba kuna kirusi ndani ya chama kilicho karibu sana na viongozi wa chama chenye kazi moja tu, yani kuonyesha kuwa CHADEMA hapako shwari, kuna migogoro na hatimaye kusambaratisha chama'
Hapa ni kwamba hamjui huyo kirusi na ameandika kwa hisia maana kama angekuwa anamjua angeshajua kuwa ni kiongozi mwandamizi au sio kiongozi mwandamizi. So hapa panakinzana na hapo juu. Anahisi kuna kirusi lakini hana uhakika so inawezekana pia hicho kirusi kisiwepo kabisa. Pili, katika "HISIA" zake za hicho kirusi amesema kipo karibu na viongozi waandamizi kwahiyo kirusi hicho chaweza kikatokana na yeye mwenyewe, watu wake au hata yeye ni kirusi kwa kujijua ama kutojijua...Kirusi hiki lazima kina nafasi andamizi au kipo karibu sana na viongozi waandamizi.
Inawezekana kabisa kirusi hiki kinahusika na suala zima la Lwakatare katika kupanga, kuendesha na kutekeleza mpango mzima.
Hizi ni porojo za Zitto za kutuzuga watanzania wachache wenye akili. Soma signature yangu, angalia hayo yaliyo kwenye hiyo signature yalitokana na nini, angalia ishu ya Rwakatare, angalia Zitto alivyokana kutaka kuuwawa na Dr.W.Slaa, angalia tamthilia ya Lwakatale, then uunganishe dots, Shibuda hayupo kabisa....ni mijitu mizima kuamua kwa makusudi au kwa kutokujua kucheza ngoma ya CCM.Maswali kama ‘kwanini Dennis Msacky na Zitto ndani ya Video ya ‘Lwakatare' lazima sasa yaanze kutafutiwa majawabu.
Mkuu ukisoma vyema,barua haijawa leaked.Isipokuwa kuna mtu amei redraft.Siwezi kusema kuwa ni original copy kwasababu mleta mada kapoint out kuwa barua hiyo ina "maudhui" kama yake,so haikuwa vebartim.Mkuu jmushi1 tunarudi palepale kwamba ndani kabisa ya moyo a uongozi wa CHADEMA (yaani Kamati Kuu) kuna kirusi tena kirusi hatari sana. Kwa maana nyingine ndani ya CHADEMA hakuna siri hata chembe kwa kuwa kama kikao cha watu wachache kama CC kinaweza kutoa siri nini kitakuwa kimebaki sasa; baraza kuu? Wakati wa ukomunisti kule China na Urusi vikao vya CC vilikuwa siri kubwa na ukicheza navyo haki yako ni njugu kadhaa na kuzikwa kusikojulikana.
Ukitizama kwa makini mhusika wa yote ni Zitto na mlengwa ni Dr. SLAA hata wanaomtuhumu Ben ni vijana wa zittoMkuu kama umefuatilia ipasavyo comments za watu utaona kuwa target siyo Ben bali ni Dr. Slaa! Wameivujisha ili ionekane anashindwa kutunza siri za ofisi. Kumbuka ZZK ana watu wake hapa wa wakuendeleza agenda anazoanzisha
acha kumtisha wewe. hapo wapi kamtaja ben saanane? au wewe ndo unatoa majibu kuwa mtu huyo ni ben
Upofu wa kufikiri na kuona mambo ni upofu mbaya kuliko aina zote za upofu ...
Mkuu kama ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za ndani za chadema pamoja na matukio ya hivi karibuni, na kama umeisoma post iliyoweka hii thread utagundua kuwa vita ya Ben Saanane na Zitto ni kubwa
Mkuu ukisoma vyema,barua haijawa leaked.Isipokuwa kuna mtu amei redraft.Siwezi kusema kuwa ni original copy kwasababu mleta mada kapoint out kuwa barua hiyo ina "maudhui" kama yake,so haikuwa vebartim.
Je wewe unaweza kuniambia madhumuni ya huyo kirusi ni yepi kwenye kadhia hii?
Mkuu twende polepole na kauli ya Zitto kuhusu kirusi, Ameandika hivi....
Hapa ni kwamba ana uhakika kuna kirusi ndani ya Chama...
Hapa ni kwamba hamjui huyo kirusi na ameandika kwa hisia maana kama angekuwa anamjua angeshajua kuwa ni kiongozi mwandamizi au sio kiongozi mwandamizi. So hapa panakinzana na hapo juu. Anahisi kuna kirusi lakini hana uhakika so inawezekana pia hicho kirusi kisiwepo kabisa. Pili, katika "HISIA" zake za hicho kirusi amesema kipo karibu na viongozi waandamizi kwahiyo kirusi hicho chaweza kikatokana na yeye mwenyewe, watu wake au hata yeye ni kirusi kwa kujijua ama kutojijua...
Bado hana ufahamu wa kutosha kuhusu hicho kirusi na mimi naamini anaweza kuwa ni yeye mwenyewe...
Hizi ni porojo za Zitto za kutuzuga watanzania wachache wenye akili. Soma signature yangu, angalia hayo yaliyo kwenye hiyo signature yalitokana na nini, angalia ishu ya Rwakatare, angalia Zitto alivyokana kutaka kuuwawa na Dr.W.Slaa, angalia tamthilia ya Lwakatale, then uunganishe dots, Shibuda hayupo kabisa....ni mijitu mizima kuamua kwa makusudi au kwa kutokujua kucheza ngoma ya CCM.
cc: Ben Saanane Pasco Zitto, majebere Matola
Madhumuni ya kirusi ni kukichafua chama tu basi kwa maoni yako?Mkuu nimeelewa kabisa kwamba ile barua ni redrafted. Maudhui ya barua original yalijadiliwa kwenye mkutano wa kamati kuu. kwa maana hiyo ni kwamba aliye redraft hiyo barua ama ni aliyepelekewa (hii ni remote kidogo) ama mjumbe mmojawapo wa Kamati kuu (uwezekano hii ya pili ni mkubwa) kwani hata aliyepelekewa yumo kwenye CC. Kwa maana ya ujumla ni kwamba barua imekuwa redrafted na mjumbe wa kamati kuu. madhumuni ya kirusi ni kikichafua chama tu basi.
Madhumuni ya kirusi ni kukichafua chama tu basi kwa maoni yako?
Kirusi ambacho kina nafasi andamizi ama kiko karibu na kiongozi mwandamizi wa chadema?
Hapana mkuu,ni changamoto tu nakupa,tutafute kwanza nia ya kirusi,hiyo ya "kukichafua chama tu basi",tuieliminate.Mkuu mbona unanitega? tusaidiane tu. Kwani wewe unasemaje kuhusu Kirusi?
Mkuu analysis nzuri. Lakini mimi naamini Zitto anakijua hicho kirusi. Kwa kusema kuwa kiko karibu na uongozi (uongozi upi kwani yeye si kiongozi?) hapa anamaanisha siyo uongozi bali karibu na kiongozi. Pili anasema kirusi huenda kina nafasi andamizi, hapa anarudia tu kusema kuwa Kirusi ni kiongozi mwandamizi. Tatu anaposema kwamba Kirusi huenda kinahusika na video ya Lwakatare hapo mimi nadhani anarejea kwamba huyo kiongozi ndiyo yuko nyuma ya ule mpango wa Lwakatare ambao unamhusu Msacky na Zitto (si Zitto alitajwa kama mshirika wa Msacky).
Mkuu CHADEMA kuna virusi. CHADEMA walianza kuitana Mamuluki, wakaja wakaitana masalia na sasa virusi!
Mkuu nafikili vita iliyopo ni baina ya Zitto na Slaa isipokuwa slaa hajitokezi mbele anamtumia proxy wake
Wee haya wee!
Mkuu CHADEMA kuna virusi. CHADEMA walianza kuitana Mamuluki, wakaja wakaitana masalia na sasa virusi!