Black Tanzanite
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 218
- 244
Aliyetafuta sababu ni aliyezuia mabasi,mbona ukweli unaonekana lakini watu wanaukataa.Vipi kama simba vwangejitutumua jana na damu ikamwagika
Point ni KUTAFUTIANA SABABU... haijalishi nani anamtafutia mwenzieπAliyetafuta sababu ni aliyezuia mabasi,mbona ukweli unaonekana lakini watu wanaukataa.Vipi kama simba vwangejitutumua jana na damu ikamwagika.
Ningekuwa na madaraka ningewaua na kuwapoteza wote wanaitwa makomando o walioshiriki tukio la jana.Nimemaliza kusoma barua nikaishia kucheka sana na kujiuliza maswali fikirishi kua yanga ni nani nchi hii? Viongozi Gani wa kisiasa na kitimu wako nyuma ya hili la kua na uwezo wa kuzuia watu wasitumie uwanja ..tena uwanja wa serikali..yanga ni nani nchi hii...ama kweli leo ndio nimejua maana halisi ya ubaya ubwela. By the way msicheze na Tajiri Mo dewji. Watu wamewekeza pesa zao kwenye timu, Simba timu kubwa inawakilisha nchi halafu muwafanyie UHUNI NA DHARAU kwa kutowaheshimu.
Tupo pamojaPoint ni KUTAFUTIANA SABABU... haijalishi nani anamtafutia mwenzieπ
mkuu kwamba wewe una akili[emoji23][emoji23] ndio mana mkuu narudia kusema
Wajinga wa aina yake na wengineo ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
Acha matusi wewe kengeUbaya Ubwela
Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.
Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Tayari umehamisha magoli. Ulizungumzia taratibu za kupata haki au uliuliza mbona Simba wakati mwingine huwa hawahitaji hiyo pitch feeling?! Kuwa consistent tafadhaliKwenda kujisaidia ni haki sio haki!? Nakumbuka tulipokuwa shuleni ilikuwa lazima uombe ruhusa ya kwenda kunya... zipo taratibu pia za kuitumia na kuipata hiyo hiyo ambayo ni YAKO!
Yani haka ni kampango tu kamefumwa....Simba walijua nini kitaenda kutokea pale, na Watu Yanga kwa nini wawazuie!? πHuo ndio ukweli 101%
Kuna muda ni upumbavu kushabikia mpira wa Tanzania maana unakuwa karibu na kuwa mpumbavu au mpumbavu kabisa
CAPO DELGADO tia neno kwa mpira wa Bongo
Kweli hawa uto ni wapuuzi sana.Kuna yule baunsa wa uto alimpiga shabiki aliekuwa anahojiwa baada ya mechi ya uto ambayo walipata matokeo mabaya.Uto ni kama timu ya mtaani.Ubaya Ubwela
Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.
Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Bodi ya ligi wasengeHuwezi kuahirisha mechi kwa ujinga wa watu flani mechi ipigwe walio husika kuleta vurugu wapewe haki yao bodi ya ligi haina meno
Kanuni haisemi inabidi kutoa taarifa maana kwanza ni utaratibu wa kawaida kutumia uwanja siku moja kabla ya mechi, inakuwaje wanachukulia kama vile wameshtulizwa?simba anazingua unaendaje kwenye uwanja bila taarifa kwa wahusika
Kanuni lazima ifuatwe.Ujinga mtupu! Watu wamesafiri kutoka mikoani, mechi imefanyiwa promotion zaidi ya mwezi mzima alf ina ahilishwa kizembe!
Mkuu kwahio unataka kuniambia kua timu ya yanga kama wao walifanya mazoezi kwa nafasi na kwa raha zao, walikua hawajui kisheria na kikanuni wakimaliza nani anatakiwa kuja uwanjani kufanya mazoezi kama kanuni zinavyoeleza Hadi wajulishwe na kupigiwa simu ..kwamba yanga they are so special to be called on phone & to be told that Simba are coming to the football ground to do warm up exercises as per rules of football indicated?! Are they this dumb? Na kwaio bodi ya ligi ndio iliwatuma so called makomandoo( wahuni) kuziba geti sababu hawajapigiwa simu kwamba Simba inakuja?Mkuu tukitaka kumaliza haya mambo hatutakiwi kuegemea upande. Taarifa pia inasema Simba haikuwasiliana na Maofisa wa mchezo, timu mwenyewe wala mamlaka ya uwanja ili maandalizi ya kikanuni yafanyike. Hicho kipengele umekiruka kwa kuwa Simba ni timu yako. Hivi sivyo tunavyosolve matatizo.
Kanuni ipi? Iweke hapaYanga huwa wanadai wao ni wazee wa kanuni ndio maana waligomea mechi iliyosogezwa mbele masaa mawili,leo wamekumbushwa kufuata kanuni
Yote hayo ni mwendelezo wa kutochukua hatua kaliKweli hawa uto ni wapuuzi sana.Kuna yule baunsa wa uto alimpiga shabiki aliekuwa anahojiwa baada ya mechi
Kuna baadhi ya watu nawasikia wanasema mabaunsa wa Yanga hawatambuliki kwenye mfumo.Mabaunsa ndio chanzo cha yote haya
una ua makomando una acha kuua walio enda uwanjani bila taarifa tena na mapaka na mbuziNingekuwa na madaraka ningewaua na kuwapoteza wote wanaitwa makomando o walioshiriki tukio la jana.
Poleee wee,Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP