HUSSEN KAMBI
Senior Member
- Dec 4, 2023
- 196
- 250
Serikali ya kijinga,maamuzi ya kijinga.Hata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...
Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..
Siasa kwenye majanga haifai...
Tuheshimu uhai.
Kwa wapumbavu.Siasa ni sanaa Mkuu.
Yangu ni hayo tu!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Rais ni nani kiasi kwamba watu wengine wabaguliwe kwa sababu ya Rais.Hivi hayo maridhiano na mapicha makubwa ya kushikana mikono ni nini?Elimu yetu isitupeleke shimoni Tanzania ni moja bila kubagua nani anafaa zaidi ya mwenzie.Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya 1977 Ibara 12 na 13.Nyinyi askofu Ina MAANA hamjui kwamba Leo mh. Rais alikuwa yupo huko Hanang?? Ni kwanini hao CHADEMA wapange ziara Leo kama kweli Wana lengo zuri na sio show off... Wasubiri amiri jeshi mkuu aondoke kwanza halafu nao wataingia wakae Hadi mavuno walitaka.. nyinyi askofu tendeni haki na muwe mnafikiria sawasawa sio Kila saa tu lawama
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ichi hii inaongozwa na wahuni wasiojiamini. Eti Makonda ndiye mshauri wa Samia!UBAGUZI KATIKA MAAFA YA MANYARA NI AIBU KWA TAIFA!
View attachment 2835774
Ndugu Watanzania!
Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Manyara limemzuia Mhe. Freeman Mbowe kufika eneo la maafa likisingizia kuwa limepata maagizo ya kutoka juu. Sisi Askofu tunaamini kuwa hakuna maagizo yeyote kutoka zaidi ya hofu za wanasiasa wa Manyara. Sisi hatuamini kama Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa na wao wanaweza kutoa amri hizo.
Sisi Askofu tunatoa wito kwa Waziri mwenye dhamana kutoka kueleza umma nini kimetokea hadi Jeshi la Polisi likazuia Mhe Mbowe kufika Manyara. Mbona jana alikuwepo msibani kwa Askofu Kweka? Je, kwa nini Mbowe azuiwe kuwatembelea hao wahanga wakati wengine ni wafuasi wake? Je, Jeshi la Polisi halijui kama Mbowe ni kiongozi wa kitaifa katika nchi hii? Askofu au Sheikh akitaka kutembelea Manyara atazuiwa? Je, UN wakitaka kwenda huko pia watazuiwa? Taharuki ya nini kwenye maafa?
Hivi ni taifa gani hili ambalo watu hubaguana hata katika maafa kama hayo? Je, serikali iko tayari kupokea misaada ya kutoka nje ya nchi wakati inakataa misaada kutoka kwa wananchi wake wengine kama viongozi wa upinzani?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 7 Desemba 2023; 9:30 alasiri
Kwani kama Rais angetoa pole na kumwita au kumwalika Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania naye atoe pole kwa wahanga tatizo lingekua nini?Kwa hili nadhani opposition wakiri walipotoka kidogo.
Kiukweli kama wangeenda jana sidhani kama wangezuiwa. Mngeahirisha vyoooote mkafika pale ingewezekana hata Makamu wa Mwenyekiti angefika jana kumuwakilisha Mwenyekiti ( pole Mwenyekiti na misiba Mungu akufariji)
Mkuu wa nchi ni SSH so kuna sehemu tuzingatie security na mengineyo sio kila kitu ni show. Ilitangazwa Mkulu anaenda Dec 7 kwanza then ninyi mkaja na tarehe hiyo hiyo hamuoni kama mmekuwa wachokozi zaidi?
Kuna maudhi kero mapungufu mengi kwa watalawa hayaelezeki. Hata kwenye hili mapungufu meeeengi yamejionyesha but msiegemee kuprove ninyi ni bora kuliko wao..
Tunazungumzia janga kuu tuanzie hapo. Aim ilikuwa ni kwenda kuwasaidia wahanga au kushow off? Hii ni both sides inawahusu..
Mwenyekiti ameelewa na ndio maana ametulia.
Opposition, Hawakupashwa kugeuza janga kama hili iwe mtaji. Mwenyekiti angeenda kesho pia kusingekuwa na shida. Kinana alienda kwani yeye yupo ndani ya utawala so msifananishe kiviiiile. What if alienda kuset security na mengineyo.
Tuache hizi petty petty things..
Tulisema kukosolewa ni pande zote so kama chama mkubali mliteleza kidogo. Don’t dwell kwa hii issue maisha yaendelee.. sio kila jambo ni vita
Hivi msiba au majanga vinakuwaga na kadi????Siasa zisiingizwe katika majanga makubwa kama haya....
Yawezekena janga kama hili... Likatumika kama mtaji wa kisiasa! Kuelekea 2024/25...(hasa kwa ukanda huo!... Atakako huyo mkuu wa hicho chama).
.... kutafuta sympathy ya wananchi kuwa chadema wanaonewa ... Kumbe wamekiuka itifaki kwa makusudi kabisa!!!
Kwenda kuwafariji wahanga wa mafuriko ni siasa pumbavu?Chadema kuwa wanafanya siasa kwenye kila jambo, ni ujinga
Lazima mwenye akili akasirike kwa sababu upumbavu unaonekana ni maadili.Mbona umekasirika ghafla?😎
Pointi hii,hongera sana mkuu.Kama ni hivyo Rais anayejua kuwa ni Rais wa Watanzania wote angejua kuwa huu ni msiba wa kitaifa na angekuwa wa kwanza kuwashirikisha upinzani wote kuonesha ni msiba wa Taifa siyo wa CCM! Kwani nchi yetu ingeingia vitani angefanyeje? Watu hawafikiri sana. Mnaingia kwenye siasa kama mahala pa itifaki na mbwembwe tu. Nashangaa. Poleni wananchi.
Uoga utawaponza.Si ndio wangejupendekeza kwa wananchi kwenye matatizo ili waonekane Bora zaidi kwa kuwahi kutoka watu? Sasa kwenye Kampeni wanaokula Bata hewani na helcopter kwenye maafa hatuzioni si ubinafsi huo?
Na mbaya zaidi huwezi muelimisha mpumbavu akaacha upumbavu.Siyo wajinga bali ni wapumbavu kabisa
CCM inaweza kuondololewa madarakani ila sio na CHADEMA. Zingatia sanaNani anataka kupita kwenye msafara wake. Hiyo ni hofu kwakuwa mnaingia madarakani bila ridhaa ya umma.
Bora mjinga kuliko mpumbavu.Na mbaya zaidi huwezi muelimisha mpumbavu akaacha upumbavu.
Chadema ni upumbavu mtupu kutumia Political kicks za maafa!UBAGUZI KATIKA MAAFA YA MANYARA NI AIBU KWA TAIFA!
View attachment 2835774
Ndugu Watanzania!
Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Manyara limemzuia Mhe. Freeman Mbowe kufika eneo la maafa likisingizia kuwa limepata maagizo ya kutoka juu. Sisi Askofu tunaamini kuwa hakuna maagizo yeyote kutoka zaidi ya hofu za wanasiasa wa Manyara. Sisi hatuamini kama Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa na wao wanaweza kutoa amri hizo.
Sisi Askofu tunatoa wito kwa Waziri mwenye dhamana kutoka kueleza umma nini kimetokea hadi Jeshi la Polisi likazuia Mhe Mbowe kufika Manyara. Mbona jana alikuwepo msibani kwa Askofu Kweka? Je, kwa nini Mbowe azuiwe kuwatembelea hao wahanga wakati wengine ni wafuasi wake? Je, Jeshi la Polisi halijui kama Mbowe ni kiongozi wa kitaifa katika nchi hii? Askofu au Sheikh akitaka kutembelea Manyara atazuiwa? Je, UN wakitaka kwenda huko pia watazuiwa? Taharuki ya nini kwenye maafa?
Hivi ni taifa gani hili ambalo watu hubaguana hata katika maafa kama hayo? Je, serikali iko tayari kupokea misaada ya kutoka nje ya nchi wakati inakataa misaada kutoka kwa wananchi wake wengine kama viongozi wa upinzani?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 7 Desemba 2023; 9:30 alasiri
Haijalishi, itaondoka tu.CCM inaweza kuondololewa madarakani ila sio na CHADEMA. Zingatia sana
Mwaka 2260. Sisi wote tutaiacha.Haijalishi, itaondoka tu.