CCM ya sasa ni alama ya shetani hapa Duniani. Kuna siku siku CCM itakuja kujimilikisha mpaka makaburi. Wao kila kitu wanaona ni chao pekee yao.
Mabwenyenye damu za kijan
 
Safi sana

Chadema ni mbumbumbu na malofa


Walikua wap siku zote mapaka wavizie Ziara ya Mhe Rais?

Hawa vibaka wanapaswa kupewa wanachokitafuta
 
Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?

Chadema ni wapumbavu
Wewe punguani kweli. Jipigeni kifunai mara 7, sema, mimi punguani na mpumbavu.

Punguani kama wewe, hata kama Mbowe angeenda juzi ungesema kwa nini ameenda kabla ya Rais. Ujinga huu wa polisi ulifanyika pia Kagera, CHADEMA walipopeleka pole yao kwa waathirika.
 
Hata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...

Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..

Siasa kwenye majanga haifai...

Tuheshimu uhai.
Kwa hiyo na Samia ameenda Hanang kujiongezea umaarufu?
 
Mi nadhani wewe ndio mpumbavu wa mwisho!
Umemshusha sana Etwege kumwambia ni mpumbavu wa mwisho. Huyo ni mpumbavu wa kwanza. Maana yake, wapumbavu wakishindana, yeye lazima awe mshindi kwa kushika nafasi za juu kwenye upumbavu.
 
Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?

Chadema ni wapumbavu
Mpumbavu ni yule anaeporomosha mitusi ya kipumbavu. Na sifa ya mpumbavu ni kutetea na kushabikia upumbavu.
 
Sisi kina nani?

Hao jamaa kama motive yao si ya kisiasa kwenye vifo vya watu kwanini wanasubiri Raisi ndio na wao waende?
Hivi huyo Rais ni nani hasa? Ywye siyo mwanadamu? Basi mngetangaza kuwa wanadamu wote waondoke leo Hanang kwa sababu kuna kiumbe wa ajabu kutoka sayari nyingine atafika Hanang.
 
Yale maridhiano fake anayajua Mbowe, na ndio maana anapata tabu kueleza wafuasi wake na kueleweka kwani utapeli ule uko wazi mno.
Sidhani kama Mbowe haelewi hili ila huenda naye anafanya 'biashara' ya Siasa na Ccm....

Huenda hilo sio kosa, ila kuwatumia vijana wa Cdm kufanikisha hiyo biashara ni makosa.
 
Sidhani kama Mbowe haelewi hili ila huenda naye anafanya 'biashara' ya Siasa na Ccm....

Huenda hilo sio kosa, ila kuwatumia vijana wa Cdm kufanikisha hiyo biashara ni makosa.
Labda awatumie vijana wajinga. Lakini Iko wazi hakuna maridhiano Bali utapeli wa mchana kweupe.
 

Hata nchi nyingine wakisikia kuwa Tanzania viongozi wa upinzani wamezuiwa kwenda kuwafariji waathirima wa janga la landslide, kwa sababu na Rais naye alikuwa anaenda kuwafariji waathirika siku hiyo hiyo, watashangaa sana, na kujiridhisha kabisa kuwa Serikali ya Tanzania imesheheni watu wapumbavu kupindukia.

Huu upumbavu ulikuwepo pia Malawi wakati wa utawala wa dikteta Ngwazi Kamuzu Banda wa Muyayaya. Siku ambayo Ngwazi alikuwa anaruka kwa ndege kufanya ziara nchini mwake, anga zima la Malawi lilifungwa kwa ndege nyingine zote.
 
Ni aibu kubwa kwa kina Samia
 
Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda. ( SURATUL MAIDA)
 

Mmetembeza bajuli mkaambulia patupu ndiyo mnajidai eti mmewekewa vikwazo! Nani awawekee vikwazo nyie na kwa faida gani!
 
Nafikiri CCM kuondoka madarakani ni kwa mtutu wa bunduki pekee na sio kwa njia ya kidemokrasia.

Ukiona watu wanashindwa hata kuwaachia wenzao watoe pole kwa wafiwa, basi ujue hao ni maharamia wakubwa na wapo tayari kucheza michezo yote michafu mbele ya wapinzani wao bila chembe ya ya aibu.
 
Cm ilipofikia haiwezi tena kushindana kwa uchaguzi halali. Kwao kushindwa ni bonge la aibu, na humo ndani Yao Kuna wanaojiita wenye CCM, wanajua ccm ikitoka madarakani wataishia jela.

Hivyo watafanya uhuni wowote wabaki madarakani. Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatawatoa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…