G2021
Member
- Jun 2, 2023
- 56
- 66
Mabwenyenye damu za kijanCCM ya sasa ni alama ya shetani hapa Duniani. Kuna siku siku CCM itakuja kujimilikisha mpaka makaburi. Wao kila kitu wanaona ni chao pekee yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabwenyenye damu za kijanCCM ya sasa ni alama ya shetani hapa Duniani. Kuna siku siku CCM itakuja kujimilikisha mpaka makaburi. Wao kila kitu wanaona ni chao pekee yao.
🌈Alama umeipenda sana hiyo
Vaa pampas kima wewe
Wewe punguani kweli. Jipigeni kifunai mara 7, sema, mimi punguani na mpumbavu.Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumbavu
Kwa hiyo na Samia ameenda Hanang kujiongezea umaarufu?Hata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...
Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..
Siasa kwenye majanga haifai...
Tuheshimu uhai.
Umemshusha sana Etwege kumwambia ni mpumbavu wa mwisho. Huyo ni mpumbavu wa kwanza. Maana yake, wapumbavu wakishindana, yeye lazima awe mshindi kwa kushika nafasi za juu kwenye upumbavu.Mi nadhani wewe ndio mpumbavu wa mwisho!
Mpumbavu ni yule anaeporomosha mitusi ya kipumbavu. Na sifa ya mpumbavu ni kutetea na kushabikia upumbavu.Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumbavu
Hivi huyo Rais ni nani hasa? Ywye siyo mwanadamu? Basi mngetangaza kuwa wanadamu wote waondoke leo Hanang kwa sababu kuna kiumbe wa ajabu kutoka sayari nyingine atafika Hanang.Sisi kina nani?
Hao jamaa kama motive yao si ya kisiasa kwenye vifo vya watu kwanini wanasubiri Raisi ndio na wao waende?
Safi sana
Chadema ni mbumbumbu na malofa
Walikua wap siku zote mapaka wavizie Ziara ya Mhe Rais?
Hawa vibaka wanapaswa kupewa wanachokitafuta
Sidhani kama Mbowe haelewi hili ila huenda naye anafanya 'biashara' ya Siasa na Ccm....Yale maridhiano fake anayajua Mbowe, na ndio maana anapata tabu kueleza wafuasi wake na kueleweka kwani utapeli ule uko wazi mno.
Labda awatumie vijana wajinga. Lakini Iko wazi hakuna maridhiano Bali utapeli wa mchana kweupe.Sidhani kama Mbowe haelewi hili ila huenda naye anafanya 'biashara' ya Siasa na Ccm....
Huenda hilo sio kosa, ila kuwatumia vijana wa Cdm kufanikisha hiyo biashara ni makosa.
Kwa hili nadhani opposition wakiri walipotoka kidogo.
Kiukweli kama wangeenda jana sidhani kama wangezuiwa. Mngeahirisha vyoooote mkafika pale ingewezekana hata Makamu wa Mwenyekiti angefika jana kumuwakilisha Mwenyekiti ( pole Mwenyekiti na misiba Mungu akufariji)
Mkuu wa nchi ni SSH so kuna sehemu tuzingatie security na mengineyo sio kila kitu ni show. Ilitangazwa Mkulu anaenda Dec 7 kwanza then ninyi mkaja na tarehe hiyo hiyo hamuoni kama mmekuwa wachokozi zaidi?
Kuna maudhi kero mapungufu mengi kwa watalawa hayaelezeki. Hata kwenye hili mapungufu meeeengi yamejionyesha but msiegemee kuprove ninyi ni bora kuliko wao..
Tunazungumzia janga kuu tuanzie hapo. Aim ilikuwa ni kwenda kuwasaidia wahanga au kushow off? Hii ni both sides inawahusu..
Mwenyekiti ameelewa na ndio maana ametulia.
Opposition, Hawakupashwa kugeuza janga kama hili iwe mtaji. Mwenyekiti angeenda kesho pia kusingekuwa na shida. Kinana alienda kwani yeye yupo ndani ya utawala so msifananishe kiviiiile. What if alienda kuset security na mengineyo.
Tuache hizi petty petty things..
Tulisema kukosolewa ni pande zote so kama chama mkubali mliteleza kidogo. Don’t dwell kwa hii issue maisha yaendelee.. sio kila jambo ni vita
Ni aibu kubwa kwa kina SamiaUBAGUZI KATIKA MAAFA YA MANYARA NI AIBU KWA TAIFA!
View attachment 2835774
Ndugu Watanzania!
Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Manyara limemzuia Mhe. Freeman Mbowe kufika eneo la maafa likisingizia kuwa limepata maagizo ya kutoka juu. Sisi Askofu tunaamini kuwa hakuna maagizo yeyote kutoka zaidi ya hofu za wanasiasa wa Manyara. Sisi hatuamini kama Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa na wao wanaweza kutoa amri hizo.
Sisi Askofu tunatoa wito kwa Waziri mwenye dhamana kutoka kueleza umma nini kimetokea hadi Jeshi la Polisi likazuia Mhe Mbowe kufika Manyara. Mbona jana alikuwepo msibani kwa Askofu Kweka? Je, kwa nini Mbowe azuiwe kuwatembelea hao wahanga wakati wengine ni wafuasi wake? Je, Jeshi la Polisi halijui kama Mbowe ni kiongozi wa kitaifa katika nchi hii? Askofu au Sheikh akitaka kutembelea Manyara atazuiwa? Je, UN wakitaka kwenda huko pia watazuiwa? Taharuki ya nini kwenye maafa?
Hivi ni taifa gani hili ambalo watu hubaguana hata katika maafa kama hayo? Je, serikali iko tayari kupokea misaada ya kutoka nje ya nchi wakati inakataa misaada kutoka kwa wananchi wake wengine kama viongozi wa upinzani?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 7 Desemba 2023; 9:30 alasiri
Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda. ( SURATUL MAIDA)UBAGUZI KATIKA MAAFA YA MANYARA NI AIBU KWA TAIFA!
View attachment 2835774
Ndugu Watanzania!
Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Manyara limemzuia Mhe. Freeman Mbowe kufika eneo la maafa likisingizia kuwa limepata maagizo ya kutoka juu. Sisi Askofu tunaamini kuwa hakuna maagizo yeyote kutoka zaidi ya hofu za wanasiasa wa Manyara. Sisi hatuamini kama Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa na wao wanaweza kutoa amri hizo.
Sisi Askofu tunatoa wito kwa Waziri mwenye dhamana kutoka kueleza umma nini kimetokea hadi Jeshi la Polisi likazuia Mhe Mbowe kufika Manyara. Mbona jana alikuwepo msibani kwa Askofu Kweka? Je, kwa nini Mbowe azuiwe kuwatembelea hao wahanga wakati wengine ni wafuasi wake? Je, Jeshi la Polisi halijui kama Mbowe ni kiongozi wa kitaifa katika nchi hii? Askofu au Sheikh akitaka kutembelea Manyara atazuiwa? Je, UN wakitaka kwenda huko pia watazuiwa? Taharuki ya nini kwenye maafa?
Hivi ni taifa gani hili ambalo watu hubaguana hata katika maafa kama hayo? Je, serikali iko tayari kupokea misaada ya kutoka nje ya nchi wakati inakataa misaada kutoka kwa wananchi wake wengine kama viongozi wa upinzani?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 7 Desemba 2023; 9:30 alasiri
Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko
---
Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko kutokana na vikwazo vingi tulivyo kutana navyo kuanzia tunaingia Mkoa wa Manyara na zaidi vikwazo vikali tulipotaka kusalimia wagonjwa Hospital ya Rufaa Mkoa wa Manyara.Tunaendelea kuwapa pole sana wakazi wote wa Mkoa wa Manyara.Tutaongea na vyombo vya habari kwa taarifa ya kina zaidi.
View attachment 2835662Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe pamoja na viongozi wa Kanda ya Kaskazini wamefika kituo cha Polisi mkoa wa Manyara kilichopo Babati mjini. Mwenyekiti na ujumbe wake wamepitia kituoni hapo na kupokelewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara kamanda George Katabazi wakiwa njiani kuelekea wilaya ya Hanang.
Utaumwa ugonjwa wa moyo, we endelea kukasirika utadhani nacho ni chakula mkuu!Kwenda kuwafariji wahanga wa mafuriko ni siasa pumbavu?
Hawa chadema wajinga sana yani walitaka waende wakapige kampeni na kuanza kuponda uongozi wakati ni sehem ya maafaWAHUNI KATIKA UBORA WAO HAWAKOSAGI SABABU WAKISHINDWA KITU