Mm nadhani wamefanya bad timing maana Leo Rais yupo huko
 
Siku wapinzani mtaacha kulamba asali n kunywa chai za ikulu ndio CCM itawaogopa na kuwaheshimu.
 
πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Tukio Lao Hilo
 
M
Acheni visingizio, mmekosa michango ya kupeleka!!

Mkaweka picha ya Mfalme Mbowe kama yeye ndo kafa kwenye mafuriko
Yaani picha ya huyo jamaa ni miongoni mwa michango (inayo pelekwa) ama ni kiambata kwenye michango itakayo kabidhiwa?

SERIKALI YA MAGUFURI HAIKULETA TETEMEKO.
 
Lazima kuna utaratibu unaotakiwa kufuatwa hasa ukizingatia kuwa rais wa nchi yuko huko. Mngefuata protocol sidhani kama serikali hii ya Samia ingewakatalia.

Mungu Awaponye wahanga wote wa mafuriko haya πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…