Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Halafu nimesikia leo asubuhi wabunge wamepeleka kilo 15 za sukari na mbegu za mahindi, wakati hao watu majembe yote yamekwenda na maji sasa hizo mbegu watapandajeView attachment 2835679
Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo , kuwafariji watu wa Hanang , ambako viongozi wake wamekatazwa hata kutembelea Wagonjwa hospitalini .
Hapa ndipo siasa za kishamba za ccm zilipofikia .
View attachment 2835675