Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ngozi naanza kuamini ina akili ndogo by nature....mambo ya kipumbavu sana haya...kwani Mbowe akienda maeneo mengine tofauti na samia kuna shida ganiRais wa nchi na wapinzani wakatembelea sehemu moja katika siku moja? Sijui mkuu ila kiprotokali nadhani haiko sawa sema tu watu wanataka ku-score political points!
Nzuri nasema nzuri kwa kuzuiwa. Wafuasi wao wengi humu tunapambana kwa kushabikia israelKupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko
---
Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko kutokana na vikwazo vingi tulivyo kutana navyo kuanzia tunaingia Mkoa wa Manyara na zaidi vikwazo vikali tulipotaka kusalimia wagonjwa Hospital ya Rufaa Mkoa wa Manyara.Tunaendelea kuwapa pole sana wakazi wote wa Mkoa wa Manyara.Tutaongea na vyombo vya habari kwa taarifa ya kina zaidi.
View attachment 2835662Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe pamoja na viongozi wa Kanda ya Kaskazini wamefika kituo cha Polisi mkoa wa Manyara kilichopo Babati mjini. Mwenyekiti na ujumbe wake wamepitia kituoni hapo na kupokelewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara kamanda George Katabazi wakiwa njiani kuelekea wilaya ya Hanang.
Chadema kwa nn isingewasilisha misaada hiyo hata kwa mkuu wa wilaya hiyo. Walitaka kwnda kubwabwaja na kuleta mizozo kesho ili wapokee kifinyo watangaze wanaonewaUkibisha uwe na data, Kwa RPC Manyara wameitwa kunywa chai?View attachment 2835676
Ukiwa CCM akili zinarudi nyumaUhuni ule ule toka kwa watu walewale,ikiwa hawajaweka wazi hivyo vikwazo huo ni utapeli ambao chadema imezoea kuufanya kwa wafuasi wake,sasa pesa za wafuasi wao waliochangia jana na juzi ziko wapi,si wazirudishe
Wewe ni mjinga,Uhuni ule ule toka kwa watu walewale,ikiwa hawajaweka wazi hivyo vikwazo huo ni utapeli ambao chadema imezoea kuufanya kwa wafuasi wake,sasa pesa za wafuasi wao waliochangia jana na juzi ziko wapi,si wazirudishe
vichawa vidogo huwa vinawasha sana. wewe ni chawa mdogoNzuri nasema nzuri kwa kuzuiwa. Wafuasi wao wengi humu tunapambana kwa kushabikia israel
Wamefanya makusudi ili kutafuta huruma.Mm nadhani wamefanya bad timing maana Leo Rais yupo huko
Hata ukiporomosha matusi haitasaidia cho chote kama watu wa protocol hawataki iwe hivyo. Mbowe aende kesho au siku nyingine yo yote. Au asipoenda leo wakati Samia akiwepo kutakuwa na tatizo gani?hii ngozi naanza kuamini ina akili ndogo by nature....mambo ya kipumbavu sana haya...kwani Mbowe akienda maeneo mengine tofauti na samia kuna shida gani
Idadi ni kubwa sanaSerikali imetoa takwimu za uwongo kuhusu idadi ya waliokufa na waliojeruhiwa.
Unataka kusema tayari wameshapiga pesa za michango?WAHUNI KATIKA UBORA WAO HAWAKOSAGI SABABU WAKISHINDWA KITU
Walitaka kutumia maafa kujinufaisha kisiasaKupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko
---
Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko kutokana na vikwazo vingi tulivyo kutana navyo kuanzia tunaingia Mkoa wa Manyara na zaidi vikwazo vikali tulipotaka kusalimia wagonjwa Hospital ya Rufaa Mkoa wa Manyara.Tunaendelea kuwapa pole sana wakazi wote wa Mkoa wa Manyara.Tutaongea na vyombo vya habari kwa taarifa ya kina zaidi.
View attachment 2835662Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe pamoja na viongozi wa Kanda ya Kaskazini wamefika kituo cha Polisi mkoa wa Manyara kilichopo Babati mjini. Mwenyekiti na ujumbe wake wamepitia kituoni hapo na kupokelewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara kamanda George Katabazi wakiwa njiani kuelekea wilaya ya Hanang.
Yaani injinia hersi karuhusiwa halafu chadema wamezuiliwa? Au wameenda mikono mitupu?Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko