Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Haya ndiyo maridhiano???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umerukwa na akili ?Acheni visingizio, mmekosa michango ya kupeleka!!
Mkaweka picha ya Mfalme Mbowe kama yeye ndo kafa kwenye mafuriko
Rais Samia yupo huko muwe na heshima 😅😅View attachment 2835679
Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo , kuwafariji watu wa Hanang , ambako viongozi wake wamekatazwa hata kutembelea Wagonjwa hospitalini .
Hapa ndipo siasa za kishamba za ccm zilipofikia .
View attachment 2835675
Timing kwenye majanga ?Mm nadhani wamefanya bad timing maana Leo Rais yupo huko
Mlitaka kufanya siasa juu ya maisha ya watu?View attachment 2835679
Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo , kuwafariji watu wa Hanang , ambako viongozi wake wamekatazwa hata kutembelea Wagonjwa hospitalini .
Hapa ndipo siasa za kishamba za ccm zilipofikia .
View attachment 2835675
ili iweje ?Kwani Manyara hamna Ofisi?
Rambi rambi ni siasa ?Mlitaka kufanya siasa juu ya maisha ya watu?
🤣😃😁😅😄😀😀😀Tukio Lao HiloCCM wamejimilikisha mpaka maafa. Tukisema wao ndo chanzo cha maafa wasikatae. Miongoni mwa waliopatwa na maafa wamo wanachama wa vyama tofauti. Unamzuiaje kiongozi wa Chama kwenda kuona Watanzania wenzake? Hapo wanataka wakiitisha kimkutano waseme ni CCM pekee ilikuja kuwaona.
Kwa hiyo Rais akiwapo huko ndo watu wengine wasipumue?Rais Samia yupo huko muwe na heshima 😅😅
Yaani picha ya huyo jamaa ni miongoni mwa michango (inayo pelekwa) ama ni kiambata kwenye michango itakayo kabidhiwa?Acheni visingizio, mmekosa michango ya kupeleka!!
Mkaweka picha ya Mfalme Mbowe kama yeye ndo kafa kwenye mafuriko
Tatizo letu wote Serikali pamoja na opposition kila mmoja anatafuta publicity kupitia hayo majanga.Kwa hiyo Rais akiwapo huko ndo watu wengine wasipumue?
Kiprotokali sidhani kama ni sawa. Mbona wasingeenda jana...au waende kesho rais akishaondoka?Kwa hiyo Rais akiwapo huko ndo watu wengine wasipumue?
Kwani hili tukio ni mali ya Raisi? Sema hamjiaminiMm nadhani wamefanya bad timing maana Leo Rais yupo huko