Halafu nimesikia leo asubuhi wabunge wamepeleka kilo 15 za sukari na mbegu za mahindi, wakati hao watu majembe yote yamekwenda na maji sasa hizo mbegu watapandajeView attachment 2835679
Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo , kuwafariji watu wa Hanang , ambako viongozi wake wamekatazwa hata kutembelea Wagonjwa hospitalini .
Hapa ndipo siasa za kishamba za ccm zilipofikia .
View attachment 2835675
Rais alipoona sisi tunaenda kwanini naye akataka kwenda ? kwanza anatuogopea nini ?HUO NI UNAFIKI WA KIWANGO CHA LAMI YAANI MUMEONA RAIS ANAENDA HUKO NANYIE MNAFUNGASHA VIKWATO VYENU KWEND HUKO
Huna hojaIla chadema kuna saa mnakua kama wehu vile. Mngesubiria rais amalize yake na nyie muende,kutwa kukurupuka tu
H.amjiamini.Hanang' wanahitaji faraja; siyo CHADEMA!
Acheni visingizio, mmekosa michango ya kupeleka!!
Mkaweka picha ya Mfalme Mbowe kama yeye ndo kafa kwenye mafuriko
Mngekuwa mnajiamini mngeenda bila CHADEMA.H.amjiamini.
Mlitarajia halafu mkaenda tuwaeleweje? Au ndiyo mlikuwa mnatafuta justification ya kutafuna ruzuku ya Chama?Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Huna hoja
Kama ni kweli basi ni ujinga wa kiwango cha PHD. Yaani mtanzania mwenzako unamzuia kwenda kuwapa pole wenzake. Why? Wao wamegeuza Yale maafa kujipenyeza kisiasa, wamefanya siasa tupu huko hanang. Wamejisomba kwa gharama za wananchi. Leo Chadema wanataka walau kuongeza nguvu ya msaada wanazuiwa? Kuwazuia Chadema ni kuwanyima haki Wana manyara ya kupokea misaada. Haya ni mashetani na mungu chukua roho zao yote yaliyozuiaView attachment 2835679
Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo , kuwafariji watu wa Hanang , ambako viongozi wake wamekatazwa hata kutembelea Wagonjwa hospitalini .
Hapa ndipo siasa za kishamba za ccm zilipofikia .
View attachment 2835675
Kwani haya ni mara ya kwanza kutokea?Lazima kuna utaratibu unaotakiwa kufuatwa hasa ukizingatia kuwa rais wa nchi yuko huko. Mngefuata protocol sidhani kama serikali hii ya Samia ingewakatalia.
Mungu Awaponye wahanga wote wa mafuriko haya ππΏππΏππΏ
Huenda hiyo ndio sababu kubwa Mkuu.Mm nadhani wamefanya bad timing maana Leo Rais yupo huko
Politically it was wrong timing.View attachment 2835679
Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo , kuwafariji watu wa Hanang , ambako viongozi wake wamekatazwa hata kutembelea Wagonjwa hospitalini .
Hapa ndipo siasa za kishamba za ccm zilipofikia .
View attachment 2835675
Rais wa nchi na wapinzani wakatembelea sehemu moja katika siku moja? Sijui mkuu ila kiprotokali nadhani haiko sawa sema tu watu wanataka ku-score political points!Kwani haya ni mara ya kwanza kutokea?