Rais wa nchi na wapinzani wakatembelea sehemu moja katika siku moja? Sijui mkuu ila kiprotokali nadhani haiko sawa sema tu watu wanataka ku-score political points!
hii ngozi naanza kuamini ina akili ndogo by nature....mambo ya kipumbavu sana haya...kwani Mbowe akienda maeneo mengine tofauti na samia kuna shida gani
 
Nzuri nasema nzuri kwa kuzuiwa. Wafuasi wao wengi humu tunapambana kwa kushabikia israel
 
We
Uhuni ule ule toka kwa watu walewale,ikiwa hawajaweka wazi hivyo vikwazo huo ni utapeli ambao chadema imezoea kuufanya kwa wafuasi wake,sasa pesa za wafuasi wao waliochangia jana na juzi ziko wapi,si wazirudishe
Wewe ni mjinga,
Nzuri nasema nzuri kwa kuzuiwa. Wafuasi wao wengi humu tunapambana kwa kushabikia israel
vichawa vidogo huwa vinawasha sana. wewe ni chawa mdogo
 
hii ngozi naanza kuamini ina akili ndogo by nature....mambo ya kipumbavu sana haya...kwani Mbowe akienda maeneo mengine tofauti na samia kuna shida gani
Hata ukiporomosha matusi haitasaidia cho chote kama watu wa protocol hawataki iwe hivyo. Mbowe aende kesho au siku nyingine yo yote. Au asipoenda leo wakati Samia akiwepo kutakuwa na tatizo gani?
 
Timing mbaya,rais yuko huko

Ova
 
Upinzani wanafeli padogo sana,wanapofeli wao ndipo panapo nipa mzuka nami niwe na chama changu siku Moja........
 
Kama kweli imetokea hivyo hao waliofanya hivyo wajitafakari.Wamefanya jambo lakijinga kwasababu kilichowapeleka huko ni maombolezo sio porojo za kisiasa.Baada ya hapo mbowe angebaki kua mbowe na samia atabaki kua samia na urais wake.Mambo ya kitaifa tuyafanye yakitaifa hivi vyeo na madaraka yapo tu na yanapitaga.
 
Kama bila aibu wamezuia Mbowe asiwaone waathirika wa Hanang, basi mjue kuwa tayari mmepata wasaa wa kujua dhamira ya CCM kwenye chaguzi zijazo. Mtazuiwa kila mahali ambapo wanaona mtazoa kura nyingi!

Jiandaeni na mateo makubwa yajayo
 
Ccm wasije kurudia yale marudio ya kuchangisha fedha mabilioni kwa mabilioni....

Then wakawadhulumu watu wa bukoba hata kuwajengea makazi ya kudumu hamna!!!

Wasifiki tumesahau!!! Ya bukoba walivyofisadi zile fedha...

Ila yule mwenda zake!! Aisee alazwe mahala panapomstahili....(dhulma mbaya) itamtafuna huko huko aliko!!!

Wana bukoba Bado wanakumbuka serikali ilivyo-wafisadi... Na kuzigeuza fedha za rambirambi kuwa za Kwao(serikali)

Hii serikali isivyo na akili timamu... Imeshajisahaulisha..! Ya bukoba...Na kuanza kuchangisha!...
 
Walitaka kutumia maafa kujinufaisha kisiasa
 
Yaani injinia hersi karuhusiwa halafu chadema wamezuiliwa? Au wameenda mikono mitupu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…