Uliza michango ya maafa bukoba iliishia wapiUhuni ule ule toka kwa watu walewale,ikiwa hawajaweka wazi hivyo vikwazo huo ni utapeli ambao chadema imezoea kuufanya kwa wafuasi wake,sasa pesa za wafuasi wao waliochangia jana na juzi ziko wapi,si wazirudishe
Ninafahamu sina haja ya kuulizaUliza michango ya maafa bukoba iliishia wapi
Ccm waliipiga badala ya kuwapa wahanga, pia gambo alitaka kupiga za wale watoto waliopata ajali arusha sema jamaa wakakomaa akafeli mpango wakeNinafahamu sina haja ya kuuliza
Rais ni Mungu?HUO NI UNAFIKI WA KIWANGO CHA LAMI YAANI MUMEONA RAIS ANAENDA HUKO NANYIE MNAFUNGASHA VIKWATO VYENU KWEND HUKO
Kwamba rais akienda mahali hakuna ruhusa watu wengine kwenda eneo hilo? Au ni mkutano wa hadhara kuwa wataingiliana? Chama kikishapoteza ushawishi hakiko tayari kuona wengine wanaokubalika kufikia wananchi.Lazima kuna utaratibu unaotakiwa kufuatwa hasa ukizingatia kuwa rais wa nchi yuko huko. Mngefuata protocol sidhani kama serikali hii ya Samia ingewakatalia.
Mungu Awaponye wahanga wote wa mafuriko haya 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hayo maafa ni mali ya rais? Au ni sehemu ya faraga ya rais kwamba wengine hawaruhusiwi kwenda huko? Majizi ya kura kwa kulazimisha kukubalika kazi mnayo.Ila chadema kuna saa mnakua kama wehu vile. Mngesubiria rais amalize yake na nyie muende,kutwa kukurupuka tu
Kabisa, na wanajua wapinzani wakienda watatoa ripoti sahihi ambayo hawako tayari iifikie jamii.Serikali imetoa takwimu za uwongo kuhusu idadi ya waliokufa na waliojeruhiwa.
CCM ni majuha kwa kuagiza polisiccm kuwazuia Chadema.Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumbavu
Kwa nini hawakusubiri ziara ya mkuu wa nchi iishe ndio wafanye na wao ziara?
Kudisrupt ziara ya mkuu wa nchi ni dharau.
Alafu wao wanaona wamefanya jambo la maana.View attachment 2835785
Wanaenda kwenye mkutano wa kisiasa au kutembelea wahanga wa hilo janga? Nadhani mnaona ni kwa kiwango gani kuwa madarakani bila ridhaa ya umma kunaletq shida.Rais wa nchi na wapinzani wakatembelea sehemu moja katika siku moja? Sijui mkuu ila kiprotokali nadhani haiko sawa sema tu watu wanataka ku-score political points!
ShwainiAcheni Uchawa kwenye Mambo Serious Jamani