Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, dalili ya mvua ni mawingu. Ccm hawana uwezo tena wa kushindana kihalali maana ukweli wanaujua. Huwa nasema bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi hakutakuwa na mabadiliko ya kweli.Kama bila aibu wamezuia Mbowe asiwaone waathirika wa Hanang, basi mjue kuwa tayari mmepata wasaa wa kujua dhamira ya CCM kwenye chaguzi zijazo. Mtazuiwa kila mahali ambapo wanaona mtazoa kura nyingi!
Jiandaeni na mateo makubwa yajayo
Kwani Rais akitembelea wahanga wa maafa anamaliza shida zote? Inasikitisha kijana mdogo kama wewe kuwa CHAWA. Fanya kazi, acha utegemezi🥺😳Kwa nini hawakusubiri ziara ya mkuu wa nchi iishe ndio wafanye na wao ziara?
Kudisrupt ziara ya mkuu wa nchi ni dharau.
Alafu wao wanaona wamefanya jambo la maana.View attachment 2835785
hili watu wanajiepusha kulisema na kuliandikamapinduzi ya kijeshi
Rais sio Mungu, labda nyie chawa ndio mnadhani rais ni mmiliki wa majanga humu nchini.Walishindwa kwenda mapema kabla ya Rais? Tarehe ambayo Rais kapanga kwenda na wao wanaenda tarehe hiyohiyo kupiga siasa. POLISI WAKO SAHIHI KUWAZUIA. Mbowe na genge lake wawe na adabu kwa Rais.
Hili halikwepeki hata watu wakikaa kimya.hili watu wanajiepusha kulisema na kuliandika
ShwainKwani Rais akitembelea wahanga wa maafa anamaliza shida zote? Inasikitisha kijana mdogo kama wewe kuwa CHAWA. Fanya kazi, acha utegemezi🥺😳
Kwa hiyo huko mlitaka muende nyie tuHata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...
Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..
Siasa kwenye majanga haifai...
Tuheshimu uhai.
Siyo wajinga bali ni wapumbavu kabisaTaifa hili lina watawala wajinga sana.
Ccm hamna pumziHata mtoto mdogo angeamua kuwazuia chadema...
Maana motive yao ni ya kujiongezea umaarufu kisiasa..
Siasa kwenye majanga haifai...
Tuheshimu uhai.
Chadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumbavu
Msiba wa nchi sio mkutano wa siasa kwamba mtaingiliana. Ni misiba mingapi tunaona watu wakuhidhuria bila kuzuiwa? Au mmejimilikisha hayo maafa? Haya ndio madhara ya kukaa madarakani bila ridhaa ya umma.Kwa nini hawakusubiri ziara ya mkuu wa nchi iishe ndio wafanye na wao ziara?
Kudisrupt ziara ya mkuu wa nchi ni dharau.
Alafu wao wanaona wamefanya jambo la maana.View attachment 2835785
Sisi kina nani?Kwa hiyo huko mlitaka muende nyie tu
Ok..watu washapoteza maisha huko
Na hawatorudi tena
Ova
Tena sana....Chadema ni wapumbavu
Kuna baadhi ya Watanzania mna matatizo makubwa sana kwenye vichwa vyenu.Kwa nini hawakusubiri ziara ya mkuu wa nchi iishe ndio wafanye na wao ziara?
Kudisrupt ziara ya mkuu wa nchi ni dharau.
Alafu wao wanaona wamefanya jambo la maana.View attachment 2835785