Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm kuendelea kubakj madarakani haitegenei kupigiwa kura na mtu yoyote yule hapa Tz.Nafikiri CCM kuondoka madarakani ni kwa mtutu wa bunduki pekee na sio kwa njia ya kidemokrasia.
Ukiona watu wanashindwa hata kuwaachia wenzao watoe pole kwa wafiwa, basi ujue hao ni maharamia wakubwa na wapo tayari kucheza michezo yote michafu mbele ya wapinzani wao bila chembe ya ya aibu.
Haya kawaambie masisiyemu menzakoEnyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda. ( SURATUL MAIDA)
Eti ndio mlezi wa democracyNi aibu kubwa kwa kina Samia
Maneno yako yamekuwa hosted na katiba mbovu. Mwenyekiti wa CCM ndio anateua kila mtu nchini, hao wapinzani wataheshimiwa na nani?Chadema ni upumbavu mtupu kutumia Political kicks za maafa!
Je!
tangu Majanga yametokea huko Hanang ni kwa nini hamkwenda mpaka mumsubiri siku mheshimiwa Rais akiwa anakwenda huko?
Je!
Ilikuwa ni lazima nyinyi Chadema kwenda huko sambamba na ziara ya Rais?
Je!
Viongozi wa Chadema hawana Busara za kufanya maamuzi sahihi?
Mfano....kwani mngeacha kwenda Hanamg leo na mkaenda huko kesho mngekuta hao wagonjwa wameondoka wodini wote?
Chadema mnazidi kupoteza umakini na sifa ya chama mbadala kwa siasa za nchi hii.
View attachment 2835916
Well saidSwala hapa ukiachana na maswala mazito kama aya ya ndugu zetu manyara, ifike sehem ccm popote nchini wachia matatizo yao wazikane wao kwa wao
Very badPolisi na TISS wanaamini kwamba Tanzania nzima ni CCM
Wewe huyo bibi yenu alienda kwa wakati huko kateshChadema kwa nini waende leo wakati maafa yametokea muda mrefu?
Chadema ni wapumbavu
CHADEMA ni makasiriko vinyongo na visasi tu huwa wanafikiria uhasi tu. Wakiitwa magaidi wanavimba misuli....nye nye nye .....haya ni Mazingira waliojitengenezea alimradi nao waonekane wamo....toka lini unawatangazia wafiwa au wagonjwa magazetini kuwa unajitayarisha kwenda msibani au hospitalini. Wameacha utu wanakimbilia Siasa. Uharakati uchwara.Unapo sema wamekatazwa sijaelewa bado inamaana kuwa wamebaguliwa au amejitenga halafu unapo sema habari za mtutu wa bunduki unatutisha mambo hayo hatujazoea kama rahisi na nyie muibe tu msitutishie na machafuko hatujazoea.
Mji wa Babati upo umbali wa saa 1 hr dakika 4 min yaani kilometa 69.3 km kutoka mji mdogo wa Katesh.
View attachment 2835812
Ziwa Babati na Mlima Kwaraa kando la mji wa Babati.
Mji wa Katesh upo kaskazini ya Tanzania. Mji huu wa Katesh unapatikana katika wilaya ya Hanang , mkoa wa Manyara . Mlima wa Hanang mwinuko wake unaanzia Katesh na ndipo kulipotokea maafa ya maporomoko ya ardhi, mafuriko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang.
Kwa sasa mjino Katesh kuna shughuli ya kuusafisha kuondoa magogo, mawe, matope n.k
View: https://m.youtube.com/watch?v=I2hmu5YJiNs
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali kwa kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea.Ameyasema hayo mapema asubuhi hii wakati wakikagua kazi zilizofanyika ambapo aliambatana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista J. Mhagama, Waziri wa Madini, Antony Mavunde na Viongozi wengine , leo tarehe 6 Disemba 2023.
Source : wizara ya ujenzi
Unapo sema wamekatazwa sijaelewa bado inamaana kuwa wamebaguliwa au amejitenga halafu unapo sema habari za mtutu wa bunduki unatutisha mambo hayo hatujazoea kama rahisi na nyie muibe tu msitutishie na machafuko hatujazoea.
😂😂😂 Bado hamjasema mana hakuna uchaguzi ambao ulifanyika bila nyie kulialia
Rais lazima aheshimiwe, na chadema mmekosa heshima hvy lazima mwenye nguvu ajulikane
Kwahiyo ndiyo kusema Mbowe na Genge lake wakishauriwa wasubiri Mkuu wa Nchi afanye ziara yake basi ndio inamaana Wana CHADEMA wote ndio walionyimwa kuona wagonjwa?
Hatahivyo kama kuna chembe ya ukweli basi Janga hili limefanywa kuwa janga la Siasa kwa Vya vyote vya Siasa nchini.
Huu sio wakati wa kutafuta
njia za kutengana. Huu ni wakati wa kujenga mshikamano wa Watanzania. Kuna watu wanateseka huko Hanang, Manyara halafu kuna watu wengine wanatafuta cheap political scores. Shame shame shame.
CHADEMA ni makasiriko vinyongo na visasi tu huwa wanafikiria uhasi tu. Wakiitwa magaidi wanavimba misuli....nye nye nye .....haya ni Mazingira waliojitengenezea alimradi nao waonekane wamo....toka lini unawatangazia wafiwa au wagonjwa magazetini kuwa unajitayarisha kwenda msibani au hospitalini. Wameacha utu wanakimbilia Siasa. Uharakati uchwara.
Mkuu fazili , tujifunze kutofautisha CCM kama chama cha siasa, na serikali ya CCM kama serikali iliyopo madarakani!. Kuna vitu vinafanywa na serikali, watu mnadhani vinafanywa na CCM!.Nafikiri CCM kuondoka madarakani ni kwa mtutu wa bunduki pekee na sio kwa njia ya kidemokrasia.
Ukiona watu wanashindwa hata kuwaachia wenzao watoe pole kwa wafiwa, basi ujue hao ni maharamia wakubwa na wapo tayari kucheza michezo yote michafu mbele ya wapinzani wao bila chembe ya ya aibu.
Yn n vitu vidogo sana ambavyo ht ukiwa na elimu ya msingi unayajua ila kwa kuwa kuna baadhi humu wameamua kuwa wapumbavu wakiongozwa na Erythrocyte hawawezi kuelewa kwa sababu wameamua kuwa wapumbavu kwa makusudi, wahuni wamejibana mahali wakamsubiri rais aje ili na wao wajileteMkuu fazili , tujifunze kutofautisha CCM kama chama cha siasa, na serikali ya CCM kama serikali iliyopo madarakani!. Kuna vitu vinafanywa na serikali, watu mnadhani vinafanywa na CCM!.
CinC yuko Katesh kufanya ziara ya kuangalia madhara ya janga, it just happened na Chadema wamepanga the same day, the same place, at the same time!, hata ungekuwa wewe ndio incharge wa ulinzi na usalama, what would you have done?!.
P