CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa
Ninaposema CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala mnielewe
 
Nafikiri CCM kuondoka madarakani ni kwa mtutu wa bunduki pekee na sio kwa njia ya kidemokrasia.

Ukiona watu wanashindwa hata kuwaachia wenzao watoe pole kwa wafiwa, basi ujue hao ni maharamia wakubwa na wapo tayari kucheza michezo yote michafu mbele ya wapinzani wao bila chembe ya ya aibu.
Ccm kuendelea kubakj madarakani haitegenei kupigiwa kura na mtu yoyote yule hapa Tz.
Endeleeni kujidanganya hivi hivi.
 
Unapo sema wamekatazwa sijaelewa bado inamaana kuwa wamebaguliwa au amejitenga halafu unapo sema habari za mtutu wa bunduki unatutisha mambo hayo hatujazoea kama rahisi na nyie muibe tu msitutishie na machafuko hatujazoea.
 
😂😂😂 Bado hamjasema mana hakuna uchaguzi ambao ulifanyika bila nyie kulialia

Rais lazima aheshimiwe, na chadema mmekosa heshima hvy lazima mwenye nguvu ajulikane
 
Wakurugenzi wa wilaya DED Halmashauri za wilaya hawatakuwa na tofauti, na uongozi wa hospitali hii ya serikali ya mkoa.
 
Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda. ( SURATUL MAIDA)
Haya kawaambie masisiyemu menzako
 
Kwahiyo ndiyo kusema Mbowe na Genge lake wakishauriwa wasubiri Mkuu wa Nchi afanye ziara yake basi ndio inamaana Wana CHADEMA wote ndio walionyimwa kuona wagonjwa?

Hatahivyo kama kuna chembe ya ukweli basi Janga hili limefanywa kuwa janga la Siasa kwa Vya vyote vya Siasa nchini.

Huu sio wakati wa kutafuta
njia za kutengana. Huu ni wakati wa kujenga mshikamano wa Watanzania. Kuna watu wanateseka huko Hanang, Manyara halafu kuna watu wengine wanatafuta cheap political scores. Shame shame shame.
 
Chadema ni upumbavu mtupu kutumia Political kicks za maafa!

Je!
tangu Majanga yametokea huko Hanang ni kwa nini hamkwenda mpaka mumsubiri siku mheshimiwa Rais akiwa anakwenda huko?

Je!
Ilikuwa ni lazima nyinyi Chadema kwenda huko sambamba na ziara ya Rais?
Je!
Viongozi wa Chadema hawana Busara za kufanya maamuzi sahihi?
Mfano....kwani mngeacha kwenda Hanamg leo na mkaenda huko kesho mngekuta hao wagonjwa wameondoka wodini wote?

Chadema mnazidi kupoteza umakini na sifa ya chama mbadala kwa siasa za nchi hii.
View attachment 2835916
Maneno yako yamekuwa hosted na katiba mbovu. Mwenyekiti wa CCM ndio anateua kila mtu nchini, hao wapinzani wataheshimiwa na nani?
 
Unapo sema wamekatazwa sijaelewa bado inamaana kuwa wamebaguliwa au amejitenga halafu unapo sema habari za mtutu wa bunduki unatutisha mambo hayo hatujazoea kama rahisi na nyie muibe tu msitutishie na machafuko hatujazoea.
CHADEMA ni makasiriko vinyongo na visasi tu huwa wanafikiria uhasi tu. Wakiitwa magaidi wanavimba misuli....nye nye nye .....haya ni Mazingira waliojitengenezea alimradi nao waonekane wamo....toka lini unawatangazia wafiwa au wagonjwa magazetini kuwa unajitayarisha kwenda msibani au hospitalini. Wameacha utu wanakimbilia Siasa. Uharakati uchwara.
 
Mji wa Babati upo umbali wa saa 1 hr dakika 4 min yaani kilometa 69.3 km kutoka mji mdogo wa Katesh.

View attachment 2835812
Ziwa Babati na Mlima Kwaraa kando la mji wa Babati.

Mji wa Katesh upo kaskazini ya Tanzania. Mji huu wa Katesh unapatikana katika wilaya ya Hanang , mkoa wa Manyara . Mlima wa Hanang mwinuko wake unaanzia Katesh na ndipo kulipotokea maafa ya maporomoko ya ardhi, mafuriko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang.

Kwa sasa mjino Katesh kuna shughuli ya kuusafisha kuondoa magogo, mawe, matope n.k

View: https://m.youtube.com/watch?v=I2hmu5YJiNs
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali kwa kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea.Ameyasema hayo mapema asubuhi hii wakati wakikagua kazi zilizofanyika ambapo aliambatana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista J. Mhagama, Waziri wa Madini, Antony Mavunde na Viongozi wengine , leo tarehe 6 Disemba 2023.
Source : wizara ya ujenzi

stupid, Mh Rais ni engineer?jitu zima limekazana na neno Mh Rais, stupid takataka
 
Nyie mtakuwa watu wajinga kwa asili au mnanufaika na CCM kama viongozi au watoto/ndugu za viongozi.
Unapo sema wamekatazwa sijaelewa bado inamaana kuwa wamebaguliwa au amejitenga halafu unapo sema habari za mtutu wa bunduki unatutisha mambo hayo hatujazoea kama rahisi na nyie muibe tu msitutishie na machafuko hatujazoea.

😂😂😂 Bado hamjasema mana hakuna uchaguzi ambao ulifanyika bila nyie kulialia

Rais lazima aheshimiwe, na chadema mmekosa heshima hvy lazima mwenye nguvu ajulikane

Kwahiyo ndiyo kusema Mbowe na Genge lake wakishauriwa wasubiri Mkuu wa Nchi afanye ziara yake basi ndio inamaana Wana CHADEMA wote ndio walionyimwa kuona wagonjwa?

Hatahivyo kama kuna chembe ya ukweli basi Janga hili limefanywa kuwa janga la Siasa kwa Vya vyote vya Siasa nchini.

Huu sio wakati wa kutafuta
njia za kutengana. Huu ni wakati wa kujenga mshikamano wa Watanzania. Kuna watu wanateseka huko Hanang, Manyara halafu kuna watu wengine wanatafuta cheap political scores. Shame shame shame.

CHADEMA ni makasiriko vinyongo na visasi tu huwa wanafikiria uhasi tu. Wakiitwa magaidi wanavimba misuli....nye nye nye .....haya ni Mazingira waliojitengenezea alimradi nao waonekane wamo....toka lini unawatangazia wafiwa au wagonjwa magazetini kuwa unajitayarisha kwenda msibani au hospitalini. Wameacha utu wanakimbilia Siasa. Uharakati uchwara.
 
Nafikiri CCM kuondoka madarakani ni kwa mtutu wa bunduki pekee na sio kwa njia ya kidemokrasia.

Ukiona watu wanashindwa hata kuwaachia wenzao watoe pole kwa wafiwa, basi ujue hao ni maharamia wakubwa na wapo tayari kucheza michezo yote michafu mbele ya wapinzani wao bila chembe ya ya aibu.
Mkuu fazili , tujifunze kutofautisha CCM kama chama cha siasa, na serikali ya CCM kama serikali iliyopo madarakani!. Kuna vitu vinafanywa na serikali, watu mnadhani vinafanywa na CCM!.

CinC yuko Katesh kufanya ziara ya kuangalia madhara ya janga, it just happened na Chadema wamepanga the same day, the same place, at the same time!, hata ungekuwa wewe ndio incharge wa ulinzi na usalama, what would you have done?!.

Chadema walizuiwa na serikali na sio sio na CCM!.

Niliwahi kushauri humu kuwa kuna vyama vinafanya siasa za matukio!. Siasa hizi za matukio zinawapa umaarufu wa muda tuu kwa kushangiliwa na umati wa watu, but when it comes kwenye kura!, they don't count!.

Ningekuwa mimi Mbowe, nina event yangu sehemu at the same time kuna event ya Mkuu wa nchi
1. Kwanza ningevunja program yangu na kuwamobilize watu wangu tuhudhurie event ya mkuu wa nchi kuonyesha solidarity, that we are one kwenye majanga ya Kitaifa, na hapa kamanda Mbowe angekula points 3!.
2. Kisha kamanda Mbowe angesikiliza kwa makini hotuba zote, toka ya RC Manyara, Waziri, Jenista, PM na Rais na kuchukua points muhimu.
3. Kesho yake ndio kamanda Mbowe angefanya ziara na kupita mule mule, na kuhitimisha kwa mkutano wa hadhara uwanja ule ule!.

4. Kwenye mkutano huo, ndio sasa Mbowe ange knocks down by points kwa ku criticises kila kilichofanyika na serikali ya CCM, huku Chadema wakionyesha wangekuwa wao, they would have done differently na hata kuibebesha serikali lawama za poor disaster preparedness kwa kutochukua hatua zozote to mitigates the anticipation of such disaster wakati dalili zote zilionekana wazi toka mwaka jana walipoona bonge la ufa kwenye mlima Hanang!.

5. Na baada ya hotuba ndipo Chadema wanakwenda kugawa misaada yao na kujizolea points 3 nyingine!.

Kazi ya responsible opposition sio kushindana na serikali iliyopo madarakani kwa kutunishiana misuli, bali kuonyesha madhaifu ya serikali iliyopo madarakani, na kueleza wao wangefanya nini, sometimes hata kutumia uongo kuwa ingekuwa ni mbunge na diwani wa Chadema, tungezuia hata kuuzuia mlima usiporomoke!.

My honest opinion kuna kiongozi Chadema amefikia stage of saturated solution, it can take no more than it can!, ila kama wenyewe hilo hawalioni, mimi ni nani kuwasemea?.
P
 
Mkuu fazili , tujifunze kutofautisha CCM kama chama cha siasa, na serikali ya CCM kama serikali iliyopo madarakani!. Kuna vitu vinafanywa na serikali, watu mnadhani vinafanywa na CCM!.

CinC yuko Katesh kufanya ziara ya kuangalia madhara ya janga, it just happened na Chadema wamepanga the same day, the same place, at the same time!, hata ungekuwa wewe ndio incharge wa ulinzi na usalama, what would you have done?!.

P
Yn n vitu vidogo sana ambavyo ht ukiwa na elimu ya msingi unayajua ila kwa kuwa kuna baadhi humu wameamua kuwa wapumbavu wakiongozwa na Erythrocyte hawawezi kuelewa kwa sababu wameamua kuwa wapumbavu kwa makusudi, wahuni wamejibana mahali wakamsubiri rais aje ili na wao wajilete
 
Back
Top Bottom