Inhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wajameniNikuulize economic benefit ya hoteli ya kitalii kama hii hapa iliyoko Chato ni nini?
Tunazumgumzia kufanya na sio kupewaWakupe matusi?
Wewe ndio baba yake bro hadi umpangie kwao.Kwanza chato siyo kwao kiuhalisia yeye ni raia wa Burundi, pili chato kuna changamoto nyingi kuna kero nyingi mno na kero kubwa ni unyanyasaji uonevu mkubwa toka kwa Polisi
Sijachukia nimechekaVipi umechukia kusema atautembelea?
Yule bwana ataki kabisa kusikia kusini alipokula mboga zao anaogopa ya kagera, maana mda unaenda siku zinaisha kusini nao wanataka kumuona Diamond na AlikibaWanawake Weusi wa Chato wanamsubiri mkombozi wao kwa hamu kubwa
Hakuna duniani sheria ya mafao ya jamii inayolipa mafao kwa mfanyakazi eti simply amefukuzwa au ameacha kazi kabla ya kufikisha umri wa kustaafu. Maana ya mifuko ya jamii na malengo yake ni kuweka akiba ya mfanyakazi ili ukistaafu aweze kuwa na kipato asiwe ombaomba! Hata hao wanaume zenu mabeberu wanafanya hivyo hivyo!!.Blah Blah...Matusi ya nini sasa? Mbona huelezei pia sheria haramu ya mafao ya wafanyakazi? Nayo mmesingiziwa? Mmekosa hoja kabisa
Weusi wa Chato fanyeni Mambo,wengine hawafahamu kuwa weusi wana rangi asilia,nyeupe zingine ni za kununua dukani.Natarajia weusi wachato watajimwambafai Leo kwa rangi zao alizo wajalia Mungu.Wanawake Weusi wa Chato wanamsubiri mkombozi wao kwa hamu kubwa
Mafao ya wap NSSFBlah Blah...Matusi ya Nini Sasa? Mbona huelezei pia sheria Haramu ya mafao ya Wafanyakazi? Nayo mmesingiziwa? Mmekosa Hoja kabisa
Ilikuaje aanze kuuponda kabla hajaenda kutembelea na kuona uhalisia? Umekubali kuwa alikuwa anabwabwaja asiyoyajua...
Am your sis..
MaSemitrela yameanza kuzoa watu kuanzia Bagamoyo alfajiri ya leo mvua imewapiga wameshindwa hata kujibanza kwa ugeni walokuwa naoJF kwa Magufuli Kampeni Mburahati wamefuta kwa tundu wameweka masaa hata 72 kabla hata ya tukio, haijalishi lkn mwisho wenu Oktoba 28, ...
Imekula Kwenu Wanachama wote wa NSSF tunakwenda kuwanyoosha tarehe 28Hakuna duniani sheria ya mafao ya jamii inayolipa mafao kwa mfanyakazi eti simply amefukuzwa au ameacha kazi kabla ya kufikisha umri wa kustaafu. Maana ya mifuko ya jamii na malengo yake ni kuweka akiba ya mfanyakazi ili ukistaafu aweze kuwa na kipato asiwe ombaomba! Hata hao wanaume zenu mabeberu wanafanya hivyo hivyo!!.
Kwani Hana haki? Yeye ni Rais mtarajiwa lazima aone kila kitu
Uwanja sio wa wana Chato pekee hata uwanja wa DSM unatumika na mtanzania yoyote na wengine kutoka nje ya nchiHata wana - CHATO watakuwa walimshangaa. kuwajengea uwanja bila kuwauliza hitaji lao
Laiti angewauliza wanahitaji nini kwa fedha hizo, angeshangaa kuambiwa wanahitaji aanzishe Irrigation Scheme kubwa iwanufaishe wakulima wote!!
Chato nzima Imesimama wana Chato wameamua kuthibitisha kuwa Nabii hakubaliki kwenye nchi yake.
Watu wamekesha Barabarani kumsubiri Liasu wafanyakazi wameahidi kutoenda kazini, wafanyabiashara hawafungui Maduka ,Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
Wangesema,maji,huduma za afya zilizo Bora,huduma wezeshi kwa wakulima,Kama pembejeo.Hata wana - CHATO watakuwa walimshangaa. kuwajengea uwanja bila kuwauliza hitaji lao
Laiti angewauliza wanahitaji nini kwa fedha hizo, angeshangaa kuambiwa wanahitaji aanzishe Irrigation Scheme kubwa iwanufaishe wakulima wote!!