Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.

Ongeza 'n' kwenye jina lako!
 
Tunajua mmeandaa vikosi Haramu vya kupiga watu na kurushia mawe msafara wa mgombea.Kwanini muandae vikundi Haramu? Mbona siasa imewashinda? Si mtoe Hoja kutetea huo Uwanja wenu na faida anayopata mwanaChato?
Malaika mungu na watanzania wema tayari wapo chato kwa ajili ya kuzuia ushetani wote ulioratibiwa na kuandaliwa na cyprian Musiba na polepole
 
Mkuu kwanza usinitishe ili nikuele navijimaneno vyako hivi "Ukishindwa kujua umuhimu wake basi hata wewe umuhimu wako hapa tanzania haupo"
kwanza ujuwe mimi sio mujinga au pumbavu kama wenzio wana Lumumba am undecided voter .nimekuuliza economic benefit ya Chato Airport to this country niipi?? wewe unarukaruka kuniletea habari za barabara,hospitali n.k umeshindwa kujibu swali rahisi huna akar kabisa wewe usije rudia tena kuita watu hawana akiri wakati IQ yako mwenye ipo very low and norrow.Goat kabisa wewe
Huyo hana tofauti na yule anayewatangazia wamachinga kuwa tule tukadi aliko wauzia 20,000/ wanaweza kwenda CRDB au STANBIC na kupewa mikopo ya biashara. Sasa hivi akili zao wote zinafanana
 
Aliweza ,na barabara ya kwenda Muleba akaipitisha Chato badala ya Biharamulo ,mtu aweze kupata PhD ya magumashi akiwa Waziri ashindwe kumshawishi Rais kuhamisha Wilaya?
 
Danganya wapumbavu. Tanzania ya Leo siyo ya Jana. Mwanangu ni mfanyakazi hajaongezewa mshahara miaka 5 na pia mmeamua kuiba Mafao yake unataka tusitafute mtu atakayerudisha heshima ya mfanyakazi?
Tanzania ya sasa hakuna haki unaweza kubambikiwa kesi ya uhujumu mda na saa yeyote bila kupewa nafasi ya kujitetea imekuwa nchi ya kesi kesi uonevu unyanyasaji mwingi
 
Tupo nyumbani kwa mgombea urais wa Ccm Chato wamesema wao watamchagua Tundu Lissu
Mumeshafika? Ungetupatia picha mkuu. Na ingependeza sana Lissu angeenda kumjulia hali mama yake magu kuonyesha alivyojaa utu.
 
Chato nzima Imesimama wana Chato wameamua kuthibitisha kuwa Nabii hakubaliki kwenye nchi yake.

Watu wamekesha Barabarani kumsubiri Lissu wafanyakazi wameahidi kutoenda kazini, wafanyabiashara hawafungui maduka ,hakika saa ya ukombozi ni sasa.
Weka na picha mkuu
 
Serengeti kuna uwanja wa ndege hautumiwi na wana serengeti hutumiwa na watalii tu
Pia zipo hoteli za kitalii Chato WATU WA CHATO huwa hawazitumii.Kutozitumia haina maana kuwa hazina faida kwao

Chato kuna mbuga imeanzishwa kubwa imeanzishwa karibuni huo uwanja utakuwa ukihudumia watalii

Mbuga hiyo hapo ya chato

Unafikiri hawayajui haya? Wanafanya upotoshaji makusudi kwa maslahi ya kisiasa.
 
Kwa taarifa zako kama ulikuwa hujui nakupa hii ndiyo imewafanya wananchi kuichukia CCM kupita kiasi, kwani hufanya matukio ya kishamba kishetani kisha kutengeneza propaganda za kipumbavu kuwa huenda ni CHADEMA yenyewe.

Hapo ndipo chuki hukolea kwa sababu watanzania wanajua Polisi ni waonevu kwa CHADEMA na endapo CHADEMA wanafanya tukio wenyewe lazima uonevu kwenye kuwasaka watu utafanyika mkubwa.

Lakini Tukio la CCM wenyewe Polisi hujidai bado wanapeleleza, watanzania siyo wajinga kama mnavyofikiria. Tambua kuwa wanajua upumbavu wote unaofanywa na CCM kisha kutengeneza propaganda za kishamba
 
Back
Top Bottom