PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Polisi wa CCM hawafiki laki moja sisi wananchi millioni hamsini hawatatuweza.

NO REFORMS NO ELECTION
Kwa hiyo wananchi wote 50 milioni wanaunga mkono harakati zenu za kipwagu na pwaguzi?
 

..waliongea na Nchimbi kabla ya kuongea na Lissu.

..tofauti ni kwamba wahariri wanapoongea na viongozi wa Ccm wanakuwa wapole, lakini wakikutana na viongozi wa Chadema wanawavunjia heshima.
 
CCM wameshikwa pabaya.. Lissu all the Way!
 
Kwanini Nchimbi asingejikita katika kujibu hoja za CHADEMA?

Au kwa vile nae alishajua kuwa 2030 kijiti ni chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…