Siku ya kuapishwa rais Magufuli Chadema walisusa Zitto alihudhuria na akampongeza, leo Zitto kasusa Chadema wamehudhuria, ndiyo siasa zilivyo.

Ni kweli, lakini sikumpongeza pia huyo Zito kwa kuhudhuria hafla ile. Hao cdm hawajajifunza tu kuwa hata ukihudhuriwa hafla za rais hana muda wa maridhiano?
 
Utamu WA Siasa ni kusahau matatizo yako Kwa kaulimbiu vya "Yanga Mbele kurudi nyuma mwiko" ukiangalia Siasa ya Tanzania utagundua kunatatizo la umoja wa kitaifa katika kutatua matatizo na hii inasababishwa na Sifa (Ndiyo maana ni Bora ungekuwa Uhuru wa BINTI MARINGO" kuliko Uchumi:.

Moja ya maandiko ya mwalimu Nyerere alikataza kitu kimoja Tu ambacho hata VIPI hakutakuwa na umoja wa kitaifa "Vyumba vya kupanga havitakiwi" mwisho wa kunukuu Mambo mengine yote "tumetaka wenyewe"

Ni rahisi kusikia "your finding first president fuki" watu wakaanza kutafutà raisi wa kwanza badala fuki ya para ya "hakutakiwi vyumba vya kupanga"

👉👉👉👉 people majibu yote yapo kwenu wenyewe

 

Huyo aliyeambiwa ana aibu? Sana sana alitumia uwepo wa Mbowe kujipatia point za mezani na kufuta mwenendo wake mbovu katika demokrasia. Kwa maneno marahisi aliyefaidika na uwepo wa Mbowe ni rais kuliko huyo Mbowe.
 

Sasa hapo Ndo unazidi kuwapaisha!wenyewe wametulia tulii!
 

Nasema hivi, hamna lolote bali ni utapeli wa mchana kweupe.
 
Watanzania wangeunga mukono hotuba ya maridhiano badala yakuendelea kuyasuta maridhiano.Kuna faida kubwa katika maridhiano.Ushirikiano wa ndani na nje ya nchi utaongezeka.Kuendelea kusema hatuitaji misaada,ela tunayo haitoshi kuzuihiya kuzorota kwa uchumi,kupanda kwa tozo,ushuru mbali mbali kwa wananchi.Prof Kabudi umeona Kenya wanafanya hivyo ebu onyesha mfano
 
Sisi ambao tumeona hali halisi ya madikiteita, Idd Amin, Mbowe ametimiza wajibu wake lakini SAHAU any positive move from a dictator
 
Kikwete aliwaita sana lakini hwapi ,wapinzani wa bongo ni pasua kichwa

Wapinzania watafungwa kwa ishu ya akwilina mambo ya kuomba maridhiano sio time yake


USSR

Wawafunge hata leo, kwani kuna jipya lipi hawajawafanyia hao wapinzani useme kuwafunga sasa ndio itakuwa jipya? Huyo Lissu amepishana na iziraili itakuwa kufungwa? Huyo anayeagiza hayo sasa huu ni muda wake wa kutamba, hata akina Elbashir walitamba muda wao, saa hii wao ndio wanasafisha vyoo huko gerezani.
 
Unaenda kumpigia magoti mtu aliyemtandika risasi 38 nduguyo utadhani anaua CHATU na kama haitoshi akaendelea kumshughulikia vivyo hivyo huku akiwa hoi kitandani.

CHADEMA hakuna kitu
Yesu alisema samehe saba Mara sabini. Siku zote kisasi ni cha Mungu mwenyewe.
 
Nadhani Mbowe kafanya kile ambacho Kamati kuu iliyokaa juzi imeridhia! Let us wait and see!
 
UENYEKITIIII KWENU UMEKUWA WA UKOO KAMA MILA ZA KICHAGA NA KINA MANGI

MNASHINDWA KURIDHIANA HUKO KWENU NANI ARIDHIANE NA NYIE

MSHINDWEE NA MLEGEEEE MSAHAUU HUOO UPOOZI SIOO KWASASAAA ALLAH

MNATUTIA AIBU KAUCHAGUZI KADOGOOTU HAYO MARIDHIANO SI MTATUWEKEA SUMU KABISA TUFE

KIDUMU CHAMA TAWALA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…