Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sawa mkuu,ila Zitto ni zaidi ya kinyongaSimshangilii, bali najua nimuunge mkono kwenye lipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu,ila Zitto ni zaidi ya kinyongaSimshangilii, bali najua nimuunge mkono kwenye lipi.
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Mbowe ameenda Mwanza kibwege bwege. Na sio yeye tu, yaani Heche, Mnyika, Sugu, Lema, Boniface waende Mwanza bila kuwa na jambo la maana? Sidhani
Iddi Amin alipokubaliana na watekaji wandege ya air France 1976, ilitumika njia ya majadiliano ya kumlghai ili ajione anaweza kumbe makanda wa IDF walikuwa kwenye rehearsal kwaajili ya kufanya uokozi.
Asomaye na afahamu.
Sawa mkuuThat much I know, ila kwa sasa amesimama kwenye nafasi sahihi, akitoka kwenye njia sahihi nampotezea.
Unafikiri nafasi ya Mbowe kuhutubia haikuandaliwa,na Kama iliandaliwa waandaaji hawajui kama wapinzani waligoma kwenda wakati wa kuapishwa Rais Magufuli na hawamtambui? Unafikiri Rais Magufuli hakuwa na taarifa yoyote kuhusu uwepo wa wapinzani wake ?Leo mnamtambua kuwa magufuli ni raisi? Ila kwenye kuapishwa kwake mligomea
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Mbowe ameenda Mwanza kibwege bwege. Na sio yeye tu, yaani Heche, Mnyika, Sugu, Lema, Boniface waende Mwanza bila kuwa na jambo la maana? Sidhani