Unaelewa maana ya maridhiano lakini?!Wewe lazima usielewe hata sikushangai, mleta mada anataka mpaka yatokee majanga zaidi ndio tutafute maridhiano, sasa hivi hizi kesi wanazobambikiwa wapinzani na kuharibiwa mali zao ( Mbowe) kwake ni vitu vidogo tu, hajui kama vinachochea chuki kati ya kundi moja na jingine kwenye jamii, yeye anataka tuendelee kuwakumbusha tu huku mkizidi kuumiza wengine kila kukicha!
app zetu hizi vijana zinatudhalilisha kweli yaan
Yaani kwa mawazo yako mpaka tufike kwenye Rwanda au Kenya unachosema hapa ni mpaka watu wengi wafe kwanza👆. Kitu ambacho haki make sense je unajua ni vitu vingapi hao wapinzani viongozi wamezuia. Vilevile kuna tatizo gani kufanya?
mnataka mpaka watu wafe ndio muende mezani sio?!, mmevimbiwa madaraka!Unaelewa maana ya maridhiano lakini?!
Jiandae kuoga matusi maana umemgusa mwenyekiti wetu
Mwamba tuvushe
Tano tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaelewa maana ya maridhiano lakini?!
Usinipangie namna ya kukabiliana na upumbavu.
Kweli umenena tujikumbushe Mzee Karume kilicho muondoa ni chuki zidi ya mtu mmoja aliye umizwa na alicho tendewa Mzazi wake tusiende keze chuki binafsi mtu kwenda kuharibu mali ya mtu kisa siasaWewe lazima usielewe hata sikushangai, mleta mada anataka mpaka yatokee majanga zaidi ndio tutafute maridhiano, sasa hivi hizi kesi wanazobambikiwa wapinzani na kuharibiwa mali zao ( Mbowe) kwake ni vitu vidogo tu, hajui kama vinachochea chuki kati ya kundi moja na jingine kwenye jamii, yeye anataka tuendelee kuwakumbusha tu huku mkizidi kuumiza wengine kila kukicha!
Asante. Nimekuelewa. Kumbe nawe ndivyo ulivyo!!
Kwa kweli hapa neno 'maridhiano' halijatendewa haki. Mbowe labda aseme amekosa neno sahihi...Unakosea!
Wewe umeleta hoja, ni mtazamo wako, kwa maana ndivyo unavyoona...
Achana na kujibu hoja kwa jazba. Kwa kujibu kwa mtindo huu, unaonesha hata ulichokiandika hapa ni umbea tu....
Kama unaona hoja ya mchangiaji fulani ni ya kipuuzi na ina kejeli, ignore it kwa sababu kwenye baraza lolote huwezi kukosa watu wa aina hii...
Jibu wachangiaji wanaopinga hoja yako kwa hoja, wasiokuwa na hoja ignore them....
Binafsi sikubaliani na wewe, RECONCILIATION ni muhimu. Huna haja ya kusubiri mpaka tufikie hatua kama ya Rwanda ama Kenya ama SA ndiyo tuamke ndo tuone kuna ulazima wa kukaa chini na kuyazungumza....
Kinga ni bora kuliko Tiba!!
Kuna wakati akili yako unaijua mwenyewe!Bado sana hatujafikia kiwango cha kuwa na maridhiano!