akili maki
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 238
- 205
Hamna maridhiano kutawala kunanoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wanadharau upinzani kwa kuwa hakuna dalili za Shari kutokea na Watanzania siyo watu wa Shari.Huwezi kutaka maridhiano na mtu anaye kuchukulia poa,anaye kuzidi nguvu na kila kitu na anajua hamna kitu utamfanya.
Wanaridhiana watu wanaokaribiana nguvu,kwamba usiporidhia nna uwezo wa kuzingua lkn mtu anajua hamna kitu CDM itafanya unadhani amesikiliza chochote.
Hizi zingine ni mbwembwe tu dogo.
Ukweli ni kuwa kishindo cha awamu ya tano maji yake hamuwezi kuogelea kamwe.
Viva Magufuli
Safi, tuanze na hivi vikesi kesi vya kisiasa tuvifutilite mbali.
Hata kuundwaji wa Serikali ya umoja wa kitaifa yawezekana come 2020, Katiba ni mali yetu na si biblia ama msahafu...it can be edited, kama kweli tuna nia ya dhati why not.
Tanzania ni mali ya watanzania wote, si mali ya chama cha siasa chochote.
Ukiwa CCM unakufaje njaa kwa mfano?!Kudadadeeeki sasa vijakazi wa lumumba mtakufa kwa njaa maana mlikuwa mnatumia migogoro ya vyama vya siasa na ccm kujipatia ridhiki
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Mbowe ameenda Mwanza kibwege bwege. Na sio yeye tu, yaani Heche, Mnyika, Sugu, Lema, Boniface waende Mwanza bila kuwa na jambo la maana? Sidhani
Ndugu zangu, kama kuna mwanasiasa anajaribu kupinga maridhiano aliyoomba Mbowe, atangulie msituni ili tumpuuze Mbowe.
Nami nashangaa, hotuba ya dakika 1.06 ndiyo imekuwa hotuba ya maadhimisho ya 58 ya Uhuru maana ndio inayojadiliwa nchi nzima.Wanaompinga hutumia chuki za kutokukubalika kwao ila Mbowe level ya juu kuliko wanaompinga hata wao nafsi zao zinawashuhudia. Speech yake fupi imekuwa na mvuto sana kwa wengi. Hata humu toka Jana sijaona Uzi unaomhusu kiongozi mwingine aliyekuwepo Mwanza utadhani Jana ni mbowe pekee ndo alihutubia. Big up Chairman.