Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ili iwejeHuyu John Noble TFF INVESTIGATION BOARD kwakushirikiana na TAKUKURU wamchunguze mawasiliano yake ya karibuni na UONGOZI WA YANGA. Kuna Kila kiashiria cha upangwaji Matokeo Kwenye Hii Mechi inayoendelea.View attachment 3311114
Iyo inch 43 ndo yakupost basi mkuu na kujiona tajiri..... Ndo madhara ya kumiliki Tv pekee Kwenye familia baada ya kufika mjini
Sanaaa mwamba.Ni kweli mkuu na liko poa sana banda umiza
Du Mkuu!Haya matusi ni kwa sababu ya mpira au kwa sababu unatumia jina feki?Utani wa jadi sidhani kama huko hivi.We mkund.u kwaiyo kuwapasua kote nje ndani 4x tumebebwa?Aisee amber rutty kazi mnayo!
Du Mkuu!Haya matusi ni kwa sababu ya mpira au kwa sababu unatumia jina feki?Utani wa jadi sidhani kama huko hivi.
wacha atoe assist tu ila soka badoIkangalombo Yanga imemkataa
Pale akituliza akili atakuwa mchezaji mzuri sanawacha atoe assist tu ila soka bado
weweKama kawaida wazee wa sinema zetu wapo uwanjani leo,unadhani nani starring?
Mwamuzi,kipa ama mabeki?
Etiii erehhhhhhhh badi sawaaaMjinga wewe Mzee unayeshangilia kuifunga fountain na CAFCL unatolewa makundi na apo unajiona BINGWA
John Nobe kipa la kimataifa kutoka Naigeria...yale makosa unaona kabisa amefinya kibunda.Kama kawaida wazee wa sinema zetu wapo uwanjani leo,unadhani nani starring?
Mwamuzi,kipa ama mabeki?
Basi uko nusu fainali CAF CHAMPIONS LEAGUEEtiii erehhhhhhhh badi sawaaa