OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Nchi imeingia aibu siku ya jana ile kauli “kwa mkapa hatoki mtu” bado ina ukweli?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kusingizia watu, hivi kweli una amini hapo bunju kuna timu ya kuifangua Raja?Sababu ya somba kuchapika ni nuksi ya mtu mmoja anaye miliki nyota chafu ya mafii alipo sema yu kila bao sh mil 5 nikajua kazi imekwisha
Simba wanaburuza mkia uko CAF CHAMPIONS LEAGUE 😀😀Kombe la shirikisho...
Mmechukua bahasha nyie sio wa kufungwa kwa MkapaKwa mpira ule wa Raja, timu yenye wazee kama akina Djuma,. Bangala ingelambwa hata 9-0
Makolo wamelitia aibu taifa. Wamemletea aibu Raisi wetu kipenzi chetu mama yetu. Hii timu ichunguzwe kuna agenda ya siri inaendelea.Na nyie uto mjiangalie, mazembe anaweza kuwapiga mkono. Usimcheke kolo kabla hujavuka mto
Muache MINO awapopoe mimi napenda nyuzi zake nataka lila uzi anitag nichukue madini..Naona umeamua kujaza server ya JF peke yako[emoji1787][emoji1787]unataka timu Mo aiache ili upewe wewe🫣🫣
Halafu wewe mtoto wa mama laini sana, Simba Sc ikiwa inacheza huwa unajificha huweki comment hata moja[emoji15][emoji15], unashindwa hadi na watoto wa kike wanajiamini zaidi yako[emoji1306][emoji1306], unasubiri mechi iishe ndio uanze kujaza server ya watu machozi, wacha uboya.
WYDAD CASABLANCA KAKA ZAO NA RAJABINGWA MTETEZI WA HILI KOMBE NI NANI? NITASHUKURU SANA, KAMA NIKIJIBIWA
Saidogo ni mzigo wa maviOoh kwa Mkapa hatoki mtu, spell ya basi kurudi kinyumenyume still wametandikwa vitatu kamili.
Je bila hiyo spell ilikuwa wabamizwe vingapi?
Mdomo ulimponza Marehemu paka.
Wakati wenzenu wanafanya usajili wa kueleweka, nyinyi mlikuwa mmo busy kuwaleta akina Manzoki ili kuja kunogesha uchaguzi wa Mwenyekiti! Huu ni wakati wenu sasa wa kuvuna mlichopanda.Kwa mpira ule wa Raja, timu yenye wazee kama akina Djuma,. Bangala ingelambwa hata 9-0
Tatizo lako wewe unapenda sana kutafuta attention humu. Hiyo sio njia sahihi ya kushughulikia hisia na mahangaiko yako. Tafuta njia sahihi ya kushughulikio mambo yako sio humu jf maana kila unapoenda kulala unakuwa unaishia kuwa na stress tu.Wewe ndiyo Adui #1 Simba SC na huna Msaada na Timu yetu bali unaitumia Simba SC Kujitajirisha. Tumekuchoka tuachie Timu yetu.
Nimemaliza.
Yanini mtani kujipa matumaini mfu🤣🤣🤣Msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu eti wanasemaga Mtani.
#Mkiani. 😂😂😂
Kwa Vipers na Horoya wanaweza bahatisha Lupaso. Lakini away sidhani.Simba hii haitashinda wala kutoka sare na timu yoyote. Haitaweza kuifunga raja kwao, horoya kwa mkapa, wala vipers home na away.
Haya majifu shenz sana.Wakati wenzenu wanafanya usajili wa kueleweka, nyinyi mlikuwa mmo busy kuwaleta akina Manzoki ili kuja kunogesha uchaguzi wa Mwenyekiti! Huu ni wakati wenu sasa wa kuvuna mlichopanda.
Washajaliwa tayariLeo wa kwanza mimi. Mungu awajalie linalowastahili
Na matokeo yalikuwaje?Nawaonea huruma Northigham forest hapa dah! Hawa City watawatoa nyongo
Watavuna walichopanda kama wenzao jana.Leo wa kwanza mimi. Mungu awajalie linalowastahili