FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Mpo wapi warembo wa lunyas🤣🤣🤣🤣
Kalpana uko wapi leo naona hamna kufinyia kwa ndani
Nipo best...jana nililouwaaa hata hamu sikua nayo...
Ila leo nimeamka na nguvu mpya ari mpya
SIMBA NGUVU MOJA
TIMU BORA AFRICA MASHARIKI
 
Jana tulitawala mchezo vibaya mnooo
Sema waarabu wana bahati....waleee
Tumekosa magoli ya wazii mnoo pale Yanga walituloga..
 
Sisi ni Club Bingwa na hao Raja wanatujua vzr ndo maana walikuja kwa tahadhari...
Bado hatujavunja ile rekodi ya
RAJA 6 YANGA 0
 
Nipo best...jana nililouwaaa hata hamu sikua nayo...
Ila leo nimeamka na nguvu mpya ari mpya
SIMBA NGUVU MOJA
TIMU BORA AFRICA MASHARIKI
Hapo ulipo unaombea tuu tp mazembe wawafanyue kazi ili msipate tabu wiki ijao toka kwa watanu.
Jana mlilowa kweli pamoja na bus kurudi rivesi🤣🤣🤣🤣
 
Hapo ulipo unaombea tuu tp mazembe wawafanyue kazi ili msipate tabu wiki ijao toka kwa watanu.
Jana mlilowa kweli pamoja na bus kurudi rivesi🤣🤣🤣🤣
Zile ni mbwembwe tuu kama kinyonga kujibadili rangi...
Hao nyoka nyoka leo wanashinda hatabkwa bao 1 TP mazembe imeshajichokea..
Ka kundi kao kepesii
 
Zile ni mbwembwe tuu kama kinyonga kujibadili rangi...
Hao nyoka nyoka leo wanashinda hatabkwa bao 1 TP mazembe imeshajichokea..
Ka kundi kao kepesii
Jana pumbaf kabisa nyie mmetunyima mbususu. Mademu wa simba mpaka leo hawataki kutoa mbususu wanalia tuu 🤣🤣🤣🤣
 
0AE20695-BE59-41EA-88E4-61289ADF1C55.png

Ndumba FC aibu hiii na kupakatwa juu..
 
Wewe ndiyo Adui #1 Simba SC na huna Msaada na Timu yetu bali unaitumia Simba SC Kujitajirisha. Tumekuchoka tuachie Timu yetu.

Nimemaliza.
Kila timu ina kupanda na kushuka. Hebu tueleze Liverpool, Man U, zilizokuwa zinapeleka kipigo kwa kila timu leo wako wapi?
Tatizo la Simba
1. inaongozwa na watu wasiojua lolote juu ya utawala wa mpira au hata kucheza mpira Tanzania au popote duniani.
2. Viongozi wako kwa masilahi binafsi na siyo ya timu.
3. Mpira wa miguu unahitani pesa na mipango mikubwa. Simba hawana hata kimoja
4. Wachezaji kutokujitoa kwa timu
 
Hii ya 4 nadhani inatokana na viongozi.
Wanaamini sana ndumba. Kibaya zaidi wanawashirikisha na wachezaji.
Hii inaathiri kisaikolojia, inapelekea kuamini kwamba hata wasipojitoa watapata matokeo.
Na ushindi wanaopata ni kutokana na ndumba na sio utaalamu wala juhudi na maarifa yao na kujituma.
 
Back
Top Bottom