FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Sayansi inaposema ukichanganya mafuta na maji lazima mafuta yajitenge, leo tumeshuhudia ukweli huo kwenye soka!! Taifa stars had no chance against Morocco!
 
Msimamo
IMG_8770.jpeg
 
Haya na hili pia tumsifie. Huu ndio ukomavu sasa tuwe pamoja kwa mazuri na mabaya.
 
Mie kwa Mawazo Yangu timamu...

Naomba hicho Chama Cha historia kinachosema Yanga kamzidi Simba na Mamelodi Kimataifa kifutwe Ulimwenguni....

Hicho Chama Ndio Sababu Ya Kujaza Wachezaji Wa Utopolo Kwenye timu ya Taifa...

Ona Sasa Kinachotokea...!

Zile Ranking za CAF,Wenye Mpira Wao barani Afrika tu ndio ziheshimiwe...!

Huu Utopolo Wa Leo hauvumiliki...
 
Tumecheza bila mfumo wa kueleweka tunataka nn tumefungwa kihalali bado tuna safari ndefu kocha afukuzwe
 
Back
Top Bottom