Huna akili
 
Kwa kifupi nilikuwa nasapoti Morocco mwanzo mwisho na sababu kubwa ni upumbavu wa hii nchi kila kitu kufanywa cha siasa.

Rwanda kashinda leo ,huwezi ona Mabango ya Kagame wala timu inaitwa ni ya Kagame,the sama Kenya kule, kwa kifuoini Tanzania pekeee ndii kila kitu ni siasa.

Simba na Yanga the same wanashindana kumfurahisha Malikia.

Kwa kifupi sina Uzalendo pale ambapo siasa za CCM zinapo tangulizwa mbele,piga hao Taifa CCM stars.
 
Tumegusa boli

Kocha aachwe achague kikosi

Huyu kibu.D dah
Sammatta nae ndo hivo

Taifa halina namba 9 wa kueleweka

Bajana kachafua kwa uwezo wake pale kati
Mudathir aanze next match👍🏽

After red card nilijua itakua balaa ila we held up pretty well tbh
 
Roma haikujengwa siku Moja, tumecheza na timu iliyotuzidi ubora sana, Morocco ni timu namba Moja kwa ubora Africa na ya 13 Duniani

Hawa wamemfunga portugal,Spain and the like mpaka kufika nusu fainali kombe la Dunia,... Unafungwa na Morocco yenye wachezaji Bayern Munich, psg, Galatasaray, man UTD eti unataka kosa afukuzwe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…