Duh!! Kungekuwepo na channel ya Taifa ya michezo Sasa hivi tungekuwa tunapata uchambuzi au replay za michezo ya karibuni ya timu hizi LAKINI TUMELETWA HUKU ZBC2 TUNALISHWA QASWIDA NA HISTORIA YA MTUME
Cha kushangaza, channel yoyote ingeweza kuwa na program za uchambuzi wa mechi hata kama hawataonyesha mechi yenyewe ila kwa kuwa bongo zetu zimelala ndo hivyo tena
 
Taifa Star kipindi cha kwanza watapigwa goli 2,kipindi cha pili watapigwa goli 2 pia.

FT 4-0
 
Duh!! Kungekuwepo na channel ya Taifa ya michezo Sasa hivi tungekuwa tunapata uchambuzi au replay za michezo ya karibuni ya timu hizi LAKINI TUMELETWA HUKU ZBC2 TUNALISHWA QASWIDA NA HISTORIA YA MTUME
Safi sana, ukumbusho wa dini ni muhimu kuliko hayo matimu ya ccm
 
Toa sababu ya msingi
Timu imecheza nusu fainali ya world cup tumeona mpira wanaocheza, Je ule mpira wa Niger na Taifa Stars ni mpira gani, hata kutoa tu pasi imfikie mtu kwa usahihi ni shida,marking ni mbovu,tungefungwa kama Niger wangekuwa wazuri sema nao ni wabovu kama sisi.
 
Aisee kikosi cha Leo huyu kipa katokea wapi yaan kwa kikosi hiki kiliochoanza tukishinda nakatakata makalio yangu nisiwe na kikalio kikosi gani hiki huyu kocha Leo sijui kala maharage ya wapi ngoja tuone dk 90 huenda kuna kitu kaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…