FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Asa itakuwaje jamani mi nipo busy? Hii mechi sio ya kuangalizia kwenye TV kabisa!

Historia hii!
Nina tiket ya Taifa Stars v Brazil 2010, ile Ivory Cost ya akina Drogba, Gervino, Toure n.k

Kwenda kutazama mpira wa hawa jamaa ni burudani tosha.
 
Nina tiket ya Taifa Stars v Brazil 2010, ile Ivory Cost ya akina Drogba, Gervino, Toure n.k

Kwenda kutazama mpira wa hawa jamaa ni burudani tosha.
Hongera sana Mkuu.

Sisi siku hizi tiketi za kieletroniki tutawahadithia wajukuu kama story tu hakuna uthibitisho.
 
Napenda mpira ila ukishaanza kutumika kutafutia mileage ya kisiasa naona kama ufala hv!

Nsiongeee sana wamorocco tujuane mapema unapatika wapi, Mimi nipo manispaaa ya cassablanca
Nipo hapa mkuu, nipo mbagala kibonde maji.
 
Wanasemaga too much is harmful, ndivyo ilivyo kwa ushiriki wa mama ktk michezo.

Mwanzoni ilikuwa nzuri, kwa kuonekana mama anapenda michezo na anatoa support.

Ila sasa hivi limekaa kisiasa zaidi, halivutii tena!
Mzee si unajua tena kashajua wabongo starehe yao ni mpira na ndo kuna mashabiki wengi tofaut na siasa,kwa hyo na yeye anajiingiza huku ilmrad apate turufu kwenye siasa coz kashaona huku wadau ni wengi mno na ndo starehe yetu
 
Mama sijui anahusika nini hapo,mi kesho nasubiri wapigwe 3 safi
Utawaona wanavyoshika mabango yao. Yaani mpaka aibu unaona wewe. ikumbukwe michezo ni burudani jamani na si siasa. sijui raia wa kigeni wakitazama match yetu wanionaje.
Sijawahi ona hata siku moja pale anfied ama wembley wakiwa na mabango ya malkia hata siku moja.
 
Back
Top Bottom