Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Himid Mao kila pasi yeye anarudisha nyuma🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ulitaka tufanyaje sasaKazi yetu hapa Taifa sisi wabongo ni kushangilia matukio.
Wakitoa tunashangilia mtu wetu akipiga tunashangilia.
Hivyo yaani...
Umenifurahisha sanaNawatafuta CCM 😂😂😂
Mwenzako anawaza ushindi hapoHii, yaani spana zote kaweka benchi?! Huyo kocha anavuta bangi nini?!
Hili lingeweza kufanyika Kama tungekuwa kwelii sisi ni taifa la mpira(footballing nation), ila sasa hivi kamwe haliwezi kufanya... Maana hata hao viongozi tu ambao ndio wangeweza kulifanya hili wapenda kuutumia mpira kisiasa tu na hata mapenzi na mpira hawana.Mechi kama hizi za Taifa kwanini wasingekuwa wanzionyesha kwenye chaneli ya Taifa TBC🤣🤣🤣
Niliona kwenye flash score kabla ya mechiUna makengeza captain ni himid mao watanzania IQ zetu ndogo sana ndiyo maana CCM inatutawala
ZBC 2Hivi DSTV wanaonesha??? Chaneli ipi???🤔
Hapa tuna pazia