FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
🤣🤣
IMG_8765.jpeg
 
Kuna winga wao wa kulia naona Kuna kitu anavizia wawe naye makini wanamtupia mipira ya mbali
 
Mechi kama hizi za Taifa kwanini wasingekuwa wanzionyesha kwenye chaneli ya Taifa TBC🤣🤣🤣
Hili lingeweza kufanyika Kama tungekuwa kwelii sisi ni taifa la mpira(footballing nation), ila sasa hivi kamwe haliwezi kufanya... Maana hata hao viongozi tu ambao ndio wangeweza kulifanya hili wapenda kuutumia mpira kisiasa tu na hata mapenzi na mpira hawana.
 
Back
Top Bottom