FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Uzalendooo uzalendo umetushinda,tunabwaga manyaga tunabwaga manyaga,jamani uzalendo umetushinda
 
Wale waliokuwa wanatamba na beki yao ya Utopolo waendelee kutamba sasa. Hovyo kabisa. Huu umekuwa ukuta wa matope sasa.
 
Hivi yule Irankunda na kuichezea tanzania imefikia wapi kwa mwenye kujua tafadhali
 
Kuna watu mlikaa mkaamini Stars anashinda hii mechi?

Mnachekesha ,hata kama ni uzalendo Moroco is far better than Stars.

Hapa tunacheza,na timu iliyofika nusu fainali World Cup sio mchezo mchezo.
Sasa na Wewe Ulifungua TV ya nini?
Si ungejilalia Usingizi...!

Kumbe Matokeo ulikuwa nayo.!

Siku Nyingine tutonye..!
 
Hebu tuzungumze!! Msuva ni wa kuanzia benchi kweli!! Huyu kocha pia tumepigwa na kitu kizito kichwani!!
 
Sasa Kipa kafanya save ya kuokoa bao la 3

Beki za Yanga zilikuwa zimetoa macho tu hazielewi hata mpira uko wapi
Zimengaa beki za makolo zilivyo pazia
Saahizi tungekuwa tumewekwa magoli kama mvua
 
Morocco 5- sa100 na CCM wenzake 0 😅😅😅
 
Back
Top Bottom