Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa na Wewe Ulifungua TV ya nini?Kuna watu mlikaa mkaamini Stars anashinda hii mechi?
Mnachekesha ,hata kama ni uzalendo Moroco is far better than Stars.
Hapa tunacheza,na timu iliyofika nusu fainali World Cup sio mchezo mchezo.
Tuwe wazalendo.Bora red haijaenda kwenye ukuta wa Yanga ili baadaye kusiwe na excuse
Zambia wataendeleza walipoishia MoroccoWale waliokuwa wanatamba na beki yao ya Utopolo waendelee kutamba sasa. Hovyo kabisa. Huu umekuwa ukuta wa matope sasa.
Mwambie awaite na polisi wakasaidie kukaba magoli yasiingie 😂😂😂
Hiyo ni CCM team sijui kaka Luka kwann hajavaa jeziKuna mda ifike tuseme hakuna timu ya taifa kuliko kuwa na wachezaji hawana adabu sasa miroshi hii kadi kajitakia
Hawana uchungu kabisa na nchi
Sijafungulia TV.Sasa na Wewe Ulifungua TV ya nini?
Si ungejilalia Usingizi...!
Kumbe Matokeo ulikuwa nayo.!
Siku. Nyingine tutonye..!
Zimengaa beki za makolo zilivyo paziaSasa Kipa kafanya save ya kuokoa bao la 3
Beki za Yanga zilikuwa zimetoa macho tu hazielewi hata mpira uko wapi
Huyo sasa hivi anaangalia mpira kwa jicho mojaLukas Mwashambwa kuna ujumbe wako huku, njoo uuchukue.
Huyu jamaa Mama yake mUkrain na Baba muIsrael lakini sijui anafanya nini Kibera 🤣🤣Ngoja MK(Kenya) Limited AKA 254 aje hapa na counter Intelligence yake.
Hii ni final push.
Duh.Kumbe Samia ni mchezaji?
Anacheza namba ngapi tujuzane ndugu zangu.!
Mama anaupiga mwingi!
Cc: Lucas Mbwa Wa Shamba.