FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Wivu tu..😂
 
Hapa tunaona mabek waksindikiza max kwenda sokoni daaah rushwaaaa mbayaaaa sana hata muvi za bongo zina viwango sio kwa maigizo ayaaaaaaaa
Tatizo unaangalia mpira huku kichwani una imani yako. Kila kitu utalalamika ni maelekezo wakati mpira ni mchezo wa makosa. Hao hao Singida walimuacha Kibonge akafunge ila walipoona ana spidi ya konokono akaona ngoja wakauchukue mpira wao maana anatia aibu. Hao Singida kwa uzuri walilokuwa nao wameshinda mechi ngapi msimu huu? Juzi Azam na ubora wake kafungwa hat trick na Aziz Ki sembuse Singida?
 
Kuna namna nyingi za kutengeneza pesa, hii pia ni mojawapo. Wenye akili zao wameshaelewa.

Hapa ni kimya kimya tu!
 
Likipaaa la singidaaaa lishakulaaa elaaa sasa linaenda bar saivi anaingia mwingine naye awekwe mbili akale ela yake dadekiiii.....

Kodi zetu zinaendaesha timu ya yangaaa kwa kununua magoli ya mchongooooooo
Kodi yako anakula baba mwenye nyumba yako, tuondolee kelele hapa.
 
Ujinga mwingine bana... Yanga akifungwa mnainua madomo yenu.. yanga akishinda mnakuja na umavii huu!, Mbona hukusema kuwa matokeo Kati ya coast na Simba yalipangwa?. Unataka yanga afungwe ndio uje na ajenda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…