Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Hili Kiki Max alitaka kumuua kipa. Nakumbuka wakati nacheza mpira nilikuwa napiga Kiki kama hili huku namtukana kipa pia natamka "Nakuuuuuaaaaaaaaaa"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama na mtoto wana chezaMax magoaaaaaaaaal ,[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kolo yanasonya Tu tafuteni na nyie Tawi kama n rahisi
ingiza timu yako ndo ujue hakuna maigizo hapoLimwigulu lipo jukwani kudadadekiiikki AAA hahaha hapa ni maigizooooooo
hahahahaha hapo umeuma na menoHili Kiki Max alitaka kumuua kipa. Nakumbuka wakati nacheza mpira nilikuwa napiga Kiki kama hili huku namtukana kipa pia natamka "Nakuuuuuaaaaaaaaaa"
leta timu yako pira mbereko uoneshwePira maelekezo.
Hapana ni jinsi Singida wanavyocheza kwa kupoozesha game na kupunguza speed ya Yanga Mkuu.Tatizo hapo ni Mauya, japo siiangalii hiyo game.
Kama tunazitaka points 3 basi mkude aingie hapo.
Unazijua hizo mkuu? Nilikuwa nasema "nauaaaaaaaaaaa"hahahahaha hapo umeuma na meno
anataka wagawane magoliKipa wa Singida anatoka baada ya kuumizwa na ule mshuti wa Max, anaingia golikipa mwingine
mpira wa yanga nani anajificha haijawahi tokea🐸 jitokezeni sasa