Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Maprincess wa yanga tupo live💛💚😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maprincess wa yanga tupo live💛💚😁
Kwanini uni'quote mara mbili sasa?Hivi unafahamu kuwa kati ya Yanga na Simba nani alieshinda Ubingwa mara nyingi,na pia nani kafungwa na mwenzake matches nyingi na magoli mengi?
Hebu nipe tathmini ya mechi yaleo unavyomuona anafaa tuendelee nae ama msimu ujao tuachane nae?Anazingua sana, clear chances anashindwa kutumia
Ndio lilikuwa kombe lenu hilo ndio maana mpaka leo mnalikumbuka. Huko Rau ndio wapi?Kwenye Comment yangu nilizungumzia Ubingwa? Si ni wewe umeleta hizo hadithi....
Wewe Kijana wa Rau umekuja kuwaje[emoji3]
Inabidi tuanzishe goal.com ya Tanzania, upo vzr sanaMatch Day
Yanga SC vs Singida FG
NBC Premier League
Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522]
Time: 1815hours
View attachment 2794435
Updates...
Saa 12:04 Jioni
Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa.
Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa.
Mawingu mepesi mepesi yametanda
Vikosi Vinavyoanza
View attachment 2794817View attachment 2794818
Saa 12:10Jioni
Timu zinaingia uwanjani sasa...
Updates...
Naibu Waziri Mkuu yuko hap Uwanjani na Viongozi wengine
Mpira umeanza sasa, Yanga wameanzisha Mpira sasa
Dakika ya 10'
Singida wanapata faulu lakini haileti madhara, kwa wapinza.
Matokeo ni 0 - 0
Dakika 11,
Aziz K anagongana na Mudathir hapa.
Anachechemea kidogo ila anaendelea.
Dakika 15'
Yanga wanapata faulu karibu kabisa na 18.
Inapigwa inatoka Nje
Dakika ya 20'
Kipa wa Singida anapatiwa matibabu hap uwanjani
Magoli ni 0 - 0
hadi sasa.
Dakika ya 21'
Yanga wanapata kona lakini haizai matunda
Dakika 23'
Kunatokea shambulizi kali langoni mwa Singida.
Inaishia kuwa kona ya pili haizai matunda
Dakika ya 28'
Mchezaji wa Singida anapata yellow kadi
Dakika ya 30'
Max anaipatia Yanga goli la kuongoza.
Yanga 1-0 Singida FG
Dakika ya 39'
Max anaipa Yanga goli la 2
Yanga 2-0 Singida FG
Dakika 41'
Mpira umesimama kwa muda Goli kipa wa Singida akipatiwa matibabu.
Amepata maumivu kidogo.
Kwa nje naona kipa namba Tatu wa Singida akipasha.
Singida wamefanya mabadiliko ya Kipa.
Dakika za Nyongeza ni 4.
Kuhitimisha kipindi cha kwanz
Dakika 45'
Zimekamilika
Yanga 2-0 Singida FG.
Updates...
Kipindi cha Pili kimeanza hapa.
Singida wameanzisha Mpira tayari.
Dakika ya 47'
Singida wanafanya shambulizi kwenye lango la Yanga
Hafiz anakosa goli la wazi kabisa hapa
Dakika ya 50'
Keseke anacheza faulu mbaya sana kwa Dickson Job,
Dakika 56'
Kadi nyingine ya Njano inatoka kwa Mchezaji wa Singida
Mchezaji nzuri huitaji muda mrefu kumtambua. Angalia Max, Pacome, Yao Yao, hao wote wameonekana bora kweny mechi ya kwanza tu kucheza. Ngoja tuone mkuuHebu nipe tathmini ya mechi yaleo unavyomuona anafaa tuendelee nae ama msimu ujao tuachane nae?
Refa anazingua sanaDuh!! refa bana
Shadeeya kaenda wapi kwenye hilo kundiMaprincess wa yanga tupo live💛💚😁
Off sideGoaaal
Kiufupi apite hivi, sio?Mchezaji nzuri huitaji muda mrefu kumtambua. Angalia Max, Pacome, Yao Yao, hao wote wameonekana bora kweny mechi ya kwanza tu kucheza. Ngoja tuone mkuu
Nani huyo aliwaweka?Goaaal
Tumpe muda [emoji23][emoji23]Kiufupi apite hivi, sio?
Kumbe ni mwamba wa wagadogu!!!Aziz [emoji2785] kaweka kamba ila huyu linesman ndugu yake na Tatu Malogo anasema ni offside