FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Hivi unafahamu kuwa kati ya Yanga na Simba nani alieshinda Ubingwa mara nyingi,na pia nani kafungwa na mwenzake matches nyingi na magoli mengi?
Kwanini uni'quote mara mbili sasa?

Anyways....Nakuelewa

Hata Ingekuwa mimi Uto inawezekana ningekuwa na machungu kuliko haya....

Enjoy mpira bhana
 
Match Day
Yanga SC vs Singida FG
NBC Premier League
Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522]
Time: 1815hours
View attachment 2794435

Updates...

Saa 12:04 Jioni
Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa.

Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa.

Mawingu mepesi mepesi yametanda

Vikosi Vinavyoanza
View attachment 2794817View attachment 2794818

Saa 12:10Jioni
Timu zinaingia uwanjani sasa...

Updates...

Naibu Waziri Mkuu yuko hap Uwanjani na Viongozi wengine

Mpira umeanza sasa, Yanga wameanzisha Mpira sasa

Dakika ya 10'
Singida wanapata faulu lakini haileti madhara, kwa wapinza.

Matokeo ni 0 - 0

Dakika 11,
Aziz K anagongana na Mudathir hapa.
Anachechemea kidogo ila anaendelea.

Dakika 15'
Yanga wanapata faulu karibu kabisa na 18.
Inapigwa inatoka Nje

Dakika ya 20'
Kipa wa Singida anapatiwa matibabu hap uwanjani
Magoli ni 0 - 0
hadi sasa.

Dakika ya 21'
Yanga wanapata kona lakini haizai matunda

Dakika 23'
Kunatokea shambulizi kali langoni mwa Singida.
Inaishia kuwa kona ya pili haizai matunda

Dakika ya 28'
Mchezaji wa Singida anapata yellow kadi

Dakika ya 30'
Max anaipatia Yanga goli la kuongoza.

Yanga 1-0 Singida FG

Dakika ya 39'
Max anaipa Yanga goli la 2

Yanga 2-0 Singida FG

Dakika 41'
Mpira umesimama kwa muda Goli kipa wa Singida akipatiwa matibabu.
Amepata maumivu kidogo.
Kwa nje naona kipa namba Tatu wa Singida akipasha.

Singida wamefanya mabadiliko ya Kipa.

Dakika za Nyongeza ni 4.
Kuhitimisha kipindi cha kwanz

Dakika 45'
Zimekamilika
Yanga 2-0 Singida FG.

Updates...

Kipindi cha Pili kimeanza hapa.
Singida wameanzisha Mpira tayari.

Dakika ya 47'
Singida wanafanya shambulizi kwenye lango la Yanga

Hafiz anakosa goli la wazi kabisa hapa

Dakika ya 50'
Keseke anacheza faulu mbaya sana kwa Dickson Job,

Dakika 56'
Kadi nyingine ya Njano inatoka kwa Mchezaji wa Singida
Inabidi tuanzishe goal.com ya Tanzania, upo vzr sana
 
Back
Top Bottom