Ulijitabiria vizuriBaada ya mpira kuisha humu ndani mambo yatakuwa kama hivi:
Nyuzi nyingi zitaanzishwa za kukosoa, makasiriko.
Kuna mashabiki wa timu fulani, watautelekeza uzi.
#magolimawiliyapohewani#
Achana na hii, nilitabiri kuna magoli mawili yako hewani. So uliyaona yakakataliwa? Tuombe uzima fainali πππππ
Pole sana madamAchana na hii, nilitabiri kuna magoli mawili yako hewani. So uliyaona yakakataliwa? Tuombe uzima fainali πππππ
Wewe tulia acha mapambano na wanye furaha zao utapata busha la shingo...CAFCC alicheza Yanga zilikuwepo timu bingwa
Ila hii UMISETA hakuna bingwa hata wa Somalia
Hiloooo hilooooo aibuuuuu aubuuu huna mbele wa nyuma unajikaza mwishowe ujinyeee tuliza komwe...Young Africans ni timu kubwa sio kama 5imba
Hilooo hilooo huna haya...unapambana na ukuta...utatoka manundu...UMISETA aibu tupu
Hongera sana mtani karibu sana kigamboni tupate bia πHatuhangaiki na,wala urojo sie...
Tuna furaha kufyekelea mbali kichaka chao...
Wakikwambia simba bado waambie ndio bado...tunajenga timu
Lipotezee li chura hilo.Marumo Gallant alikuwa bingwa ama. Acheni ufala basi nyie Utopolo. Mnataka kila siku turudie maneno ya Manara ya ninyi kukosa akili?
Usm Algers aliewapiga Fainali alikuwa bingwa.
Pateni akili basi.
Mkikosa kitu ndio maneno yenuLiite kombe la akina mama kama alivosema Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama
Njoo unipe dislike basiIla mwasibu bana, sijataja timu ushaanza madislike!!! π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kwani umeona hiyo timu, inauelekeo na madunduka? π
Haya OKW BOBAN SUNZU njoo ongeza na hapa dislike.
Muone kwanza π€£π€£π€£π€£π€£π€£ umeona una furaha sasa hivi, presha imepungua eeeh. Hongereni, tukutane fainali panapo uzima.Njoo unipe dislike basi
Mmepigwa na kitu kizitoAchana na hii, nilitabiri kuna magoli mawili yako hewani. So uliyaona yakakataliwa? Tuombe uzima fainali πππππ
Ndio ishakwisha sasashida hizi comments mnazisoma mkihisi tunaandika kwa chuki. Huu ndio uhalisia Stellen hawakua makini kutumia nadasi zao vizuri. Ukikutana na timu more advanced inakuadhibu kwa zile nafasi mlizokua mnaachia.
Yes aje tu afe.. aliwahi kufa kwa Mkapa. Hadi ss yuko nyuma huko ConstantineBerkane anasurubiwa huko
Ulitabiri itanyesha mvua.Achana na hii, nilitabiri kuna magoli mawili yako hewani. So uliyaona yakakataliwa? Tuombe uzima fainali πππππ
Nilisema yako hewani, leo kweli tena kungetokea magoli mawili. Ila naona kuna watu kama walibet iwe sare π π π πUlitabiri itanyesha mvua.
Watu wanasubiri huo muda ufike waione mvua ikinyesha wakupe maua yako kwa utabiri wako kutimia.
Sasa wewe baada ya huo muda kupita na mvua haijanyesha unaanza kujitetea "lakini kulikuwa na mawingu mawingu ya mvua"
Mawingu ya mvua sio mvua. Utabiri haukusema mawingu ya mvua ulisema mvua.
Utabiri wako ulisema magoli mawili haukusema magoli mawili yatayokataliwa.
And for the records kwanza hakuna magoli mawili yaliyofungwa. Kuna goli moja tu lililofungwa (ambalo sio halali)
Hizo incidents zingine ni penati ambazo hakukuwa na uhakika kuwa wangefunga hususan pale tunaporejea records za Camara kwenye penati.
Lakini fact nyingine inayopingana na ubashiri wako ambao ni butu, kumbuka hata Simba alikuwa na tukio la penalti. Kwa hiyo sio goli mbili tena hapo ni tatu.
Hapo inatupa conclusion kuwa Simba kufika fainali ilikuwa ni jambo ambalo haliepukiki hata tukiweka assumptions ya hizo tabiri zako za Simba kufungwa bao 2 bado naye Simba angefunga bao 1 kupitia ile penati iliyosababishwa na Kibu.
So Simba angepita kupitia Aggregate ya goli la ugenini.
Kupitia tabiri yako kuwa mbovu katika namna zote nimeamua nikuvue vyeo
View attachment 3317787