Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Hiyo ndiyo maana ya jeshi la ulinzi la wananchi, hapo ilitakiwa iwepo na " rasilimali za Taifa.
Siyo kundi la wezi linagawa rasilimali za nchi jeshi lipo tu kodoooo! Amkeni
Francophone countries wanajielewa sana mkuu. Hawataki masuala ya hovyo wale. Issue kidogo tu, tayari wameshachukua hatua.
 
Yapo huko yanakumbana na raia alievaa hata mfanano wa kombat ya jeshi la U.S
Yani ni mapuuzi balaa najua kuna wenye akili watatoka mule.
 
Nilipo mimi,kwanza wanapasua matofali kwa vichwa(ila matofali hayo,sharti yawe yametengenezwa na wao wenyewe,usiulize kwanini),wanapiga raia ambao hawana mafunzo yoyote rasmi ya kupigana(na hao raia wanaopigwa,ndiyo waliolipa kodi,ili WAO wakapate mafunzo,waje wawalinde).
Kuna kipindi chama flani cha upinzani kilitangaza maandamano,WAO wakatangaza kua siku hiyo WAO watafanya usafi.
Kwetu inasikitisha.
 
Utamaduni mpya ambao utajenga nia na uzoefu wa kubadili kila kuwapo na hitilafu.
 
La VICHAA KWANI HAMUELEWI.
 
Chama cha kipuuzi sana kile. Kimejaza watoto wa vigogo tu wanakula nchi jinsi wanavyopenda. Mawazo yako yapo kama yangu.
Ccm haiwezi kuwa kama hiyo Nchi ya Gabon ambayo ilikuwa inaongozwa na familia.

Upumbavu kama huo ndio uko Russia na Korea Kz.

Ccm Ina network kuanzia mtendaji wa Kijiji hadi Jenerali ,ukionekana mapema unasulubiwa kabla
 
Ndio acha usirudishe Sasa uone hapo Utajua Hilo jeshi linamilikiwa na nani na wewe kama una jeuri ,unda jeshi lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…