Vinci Dayot Upamecano
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 524
- 1,288
Huyu jamaa yeye hakubaligi kushindwa kabisa, na amejitengenezea dhana ya kuwa eti anaogopwa na TFF ipo chini yake, hiv hajui kama anaonewa tu huruma!! Tumuombeeni sana..." Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021...
Naona nawe pia umeanza kuota mapembe after kukula ya mbuzi. Unathubutuje kusema hivyo kweli? Mods toeni huyu mtu haraka mpelekeni hata huko Ukraine akaokote machumachuma ya MmarekaniKama Rais Samia, Rais Mwinyi, Rais Mstaafu Kikwete wapo humu na ni 'Followers' wangu GENTAMYCINE Mtu Mmoja tu mwepesi Haji Manara ataacha kuwepo?
Kwa Taarifa yako tu ni kwamba 99% ya Mada zangu hapa JamiiForums nikiwa namuandikia Haji Manara ( hasa Kumsema ) huwa anafikishiwa na Chawa Wake na kupitia Kwako nikuibie Siri kuwa Haji Manara anajua kuwa Mimi GENTAMYCINE na hii ID ni Adui yake Mkubwa Mchambuzi Mahiri wa Soka wa EFM Jemedari Said Kazumari wakati hata siyo Kweli.
MImi ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE) na siyo Jemedari Said Kazumari kama Haji Manara anavyodai na mara kwa mara huwa anadai hivyo.
Mjinga sana huyo mtoto.Naona nawe pia umeanza kuota mapembe after kukula ya mbuzi. Unathubutuje kusema hivyo kweli? Mods toeni huyu mtu haraka mpelekeni hata huko Ukraine akaokote machumachuma ya Mmarekani
Haji manara ni maarufu toka anazaliwa,Haji alipozaliwa magazeti yaliandika kuhusu Sunday Manara kupata mtoto,Manara ni original Brand iliyotoka kwa Familia ya mchezaji wa zamani wa Yanga baba Mzazi wa haji Manara ndio ikatokea Simba wakawa na tamaa na kufuata hii Manara Brand sasa kwa kuwa Simba walitumia dawa iliyo expire ya Gentamisene basi wameshindwa Manara akarudisha Brand kwa Yanga
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kuna ujinga wanaufanya wa kugalim taifa sio sawa kabisaWote hao uliowataja, hawana akili ya kutambua udhaifu wa Manara?
Ninaweza kukubali asilimia mia kabsa maana kabla ya kushikwa masikio alikuwa amenywea kabisa leo anakuja na kiburi na jeuri na kwamba wasimshauri akate rufaa mbona iko wazi kwann apige kelele kapewa adhabu yeye sio wiki ya wananchi anajiona yeye ananguvu kuliko yanga na wana yanga wana kubali ujinga1. Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
2. Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
3. Waziri 'yupo yupo' Mzee George Huruma Mkuchika
4. Naibu Waziri wa Kilimo Antony Mavunde
5. Naibu Waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete
6. Waziri wa TAMISEMI Bashungwa
7. Rtd. CDF Gen. Mabeyo
GENTAMYCINE nalisema hili mapema hivi na kwa nia njema tu kwani tayari kama Kawaida na Maono niliyobarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu naona kuna HATARI Kubwa inakuja mbeleni kama Watajwa hawa hawatokaa pembeni ya hizi Jeuri zote za Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara.
Msije kulaumu tu sikuwashauri sawa?
Amesema hajakata rufaa coz mpaka leo hajapewa nakala yake ya hukumu.Ninaweza kukubali asilimia mia kabsa maana kabla ya kushikwa masikio alikuwa amenywea kabisa leo anakuja na kiburi na jeuri na kwamba wasimshauri akate rufaa mbona iko wazi kwann apige kelele kapewa adhabu yeye sio wiki ya wananchi anajiona yeye ananguvu kuliko yanga na wana yanga wana kubali ujinga
Wanaiogopa kumpa kwa sababu ataitundika mitandaoni pamoja na Katiba ya TFFAmesema hajakata rufaa coz mpaka leo hajapewa nakala yake ya hukumu.