Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Ndio shida ya wabongo, hutaki ku admit kwamba ana tatizo la akili, unatupia lawama imani za kishirikina. Aiseee kama unampenda mpeleke mental institute asap , ukianza kutafuta alipochezewa hutokaa upate
Huko atapona kabisa?
 
Duh! Hii hatari sana aisee
 
Yaani mtu ana kichaa ushauri unaotoa anunuliwe chombo cha moto?! Are you serious?
 
Kwasasa haongei kabisa anaonyesha ishara ukimuangalia anakuomba msamaha, na kukaa chini hataki kabisa hadi alazimishwe sana hata kula kwenyewe changamoto, ila leo tunamuanzishia tiba ntawapa mrejesho
Anaongea peke yake? Anakumbuka jina lake na baadhi ya matukio? Sio post traumatised? Hajawah kukutana na magumu? Lini hasa alianza kuonyesha utofauti wa kitabia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…