kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #221
Ni wiki sasa, yeah jina watu anatukumbuka vizuri kinachotushangaza anaomba misamaha mingi sanaAnaongea peke yake? Anakumbuka jina lake na baadhi ya matukio? Sio post traumatised? Hajawah kukutana na magumu? Lini hasa alianza kuonyesha utofauti wa kitabia?
Si ropoki huo ndo ukweli. badala ya kuendelea kumdhalilisha kwa jamii na kupoteza mda kumpeleka kwa mwamposa au milembe, Mfatutieni Mtaji .Acha kuropoka
Hakuna unachoelewa kuhusu hili tatizo naonaSi ropoki huo ndo ukweli. badala ya kuendelea kumdhalilisha kwa jamii na kupoteza mda kumpeleka kwa mwamposa au milembe, Mfatutieni Mtaji .
Wangapi jobless hawajeruhi wazazi wao?Hana kichaa, ujobless na umaskini ndo vinamsumbua .
Kama unaamini kachezewa baci mpelekeni ktk nyumba za ibaada. Anaweza kupata msaada.Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Ina make sense mpaka pale utakapo jiuliza ni majobless wangapi wanapitia tatizo la Afya ya akili.Wangapi jobless hawajeruhi wazazi wao?
Ngoja, kwahiyo hapa unatype huku unagombana na mgonjwa au?Kimbiza hospitali ya vichaa huyo, mkicheza naye atawaua wote.
Hicho kichaa kimeamka hapo.
Unafika miaka 30 hujajitutumua hata ukapange chumba cha elfu 30 na ulale hata kwenye godoro la 100k chini na bado unataka familia Yako ikuone useful?Baadhi ya vijana ambao hawana uvumilivu wa kutosha wenye tatizo la afya ya akili plus wakutane na situation ya kuchukuliwa kama useless na familia, unafikiria nini kitatokea ?
Ndio nachomaanisha kanisani kwenye maombiMimi naona maombi ndio muhimhu kuna shemeji yangu alikua akivaa nguo ya kazi(uniform ya polisi) anakua kichaa alizungushwa kila mahali ila alikuja kuombewa bure akapona hadi leo yuko babati kazini ni trfk
Useful ?Unafika miaka 30 hujajitutumua hata ukapange chumba cha elfu 30 na ulale hata kwenye godoro la 100k chini na bado unataka familia Yako ikuone useful?
Basi wewe ni muongo na umekuja kuchangamsha genge tu hapa. Hakuna ndugu yako anayeumwa.Yaani mtu anaumwa umchukue video hapana hii siyo sawa
Wanawachezea watu tu hao wasaniipole km ni kweli, mpelekeni kwa mtaalamu (wa saikolojia) atakua sawa tu.
ila ww Binti Sayuni03 na kadogo2 mbona km matatizo yenu yanafanana sana? mnanipa wasiwasi mpaka nahisi nyie huenda ni, ID moja inatusumbua tu bongo zetu!? wananzengo!
Milembe ni kitengo ambacho kinadeal na watu wenye shida Kama ya ndugu yako. Nanda serikali ya mtaa ukaripoti Hilo tatizo, then watakupa maelezo ni namna gani mnaweza kumtoa hapo.Huko mirembe atapona kabisa?
Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu
Mpeleke milembe hosp Dodoma utasaidiwaGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Hospitali gani wanatoa majibu ya hivyo?Kwa hali aliyofikia siyo ya hospital maana hata tulienda huko jana wakatuambia siyo ukichaa huyu kachezewa
Ndugu ina maana ujui kua anaweza kuwaliza nyote wakati unajua kana taasisi maalum kwa ajili ya hao watu.. MILEMBEAsante mkuu hapa tumemfunga kamba japo zinamuumiza ila hatuna namna
Sawa tutampelekaNdugu ina maana ujui kua anaweza kuwaliza nyote wakati unajua kana taasisi maalum kwa ajili ya hao watu.. MILEMBE
SinzaHospitali gani wanatoa majibu ya hivyo?