The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Siyo ushabiki wa mpira tu, ishawahi sikia mfanyakazi wa apple then awe na mkataba wa kibiashara na bosi wa samsung? This is lack of loyalty kwa unayemtumikia na akikushuku unamhujumu anakuwa sahihi.kweli ushabiki unafanana sana na uzwazwa
Nimeelewa Mkuu. ...hasa hili kulia mtandaoni kwa yeye mtu mzima.Wamaume wamepungua aisee mwanaume mzima unalia lia mtandaoni si ukichaa huo wa mchana kweupe.Nakuomba niamini kwa 100% tu Mkuu.
Mbona hawakupi LIKE hata hao akina Mo wanaitumia kupiga mahela sio wapenzi wakupoteza hela zaoacha wivu wa kikuda mkuu, hii simba sio yako wala ya babu yako, shabiki yoyote anaweza kuitumia kujitengenezea jina na hata kigonga madili wewe inakuuma nini kama sio chuki hizi
unauliza mara mbili uliza kule magomeni uswahilini yule mkewe wa kwanza alivyikuwa anadundwa kama kitenesi no wonder yule dada alimkimbia jamaaAlichonikera ni kwenda kwenye mitandao ya kijamii yakati sisi mashabiki wala hatujui kama kuna ugomvi kati yake na bosi zake. Kwa ukweli hakukua na haja angemalizana huko huko tu. Nadhani timu ya simba inawafundisha ethics wachezaji tu bila ya kuwafundisha na hawa watendaje. Alichokifanya sio sahihi wala hakifuati misingi ya kisheria za kazi kwakweli. Sio mtu mzuri wa kufanya nae kazi au biashara ya aina yoyote kwakweli. Nna wasi wasi hata kuna siku atagombana na mkewe halafu aje huku mitandaoni kulalamika. Hata akiomba msamaha atafutiwe kazi nyengine ndogo ndogo afanye, zisizohusu moja kwa moja masuala ya uomgozi, amefeli sana
anasubiriwa kwa hamu aanzishe vita na simba sc mbona tafurahi na roho yakeUshamtoa damu tayar maan sio kwa hizi kunguni ulizosaga
za yule jamaa wa bandari aliykuwa anakula kiboga hadi akaenda pigwa bomba hospitali? alimjaribu kigogo hakurudia tenaKwani zile shutuma za kigogo manara amezijibu?
Tumia japo chembe ya akili,Manara kaajiriwa na Simba au na Mwamedi?Siyo ushabiki wa mpira tu, ishawahi sikia mfanyakazi wa apple then awe na mkataba wa kibiashara na bosi wa samsung? This is lack of loyalty kwa unayemtumikia na akikushuku unamhujumu anakuwa sahihi.
Hii timu walituambia inaendeshwa kisasa, kumbe bado wanategemea uchawi ili washinde. Haji anapaswa kupongezwa kwa jitihada zake za "kutoambatana" na mambo ya uchawi wa Simba.Naona mshapata chaka la kujifichia kwa kipigo mtakachokipata Jumapili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa washapata cha kujitetea,wakifungwa zigo lote anabebeshwa Manara. Halafu nashangaa Mwamedi anatumia hela nyingi za usajili huku pia akitoa mamilioni ya kurogea,kuhonga marefa na timu pinzani.Hii timu walituambia inaendeshwa kisasa, kumbe bado wanategemea uchawi ili washinde. Haji anapaswa kupongezwa kwa jitihada zake za "kutoambatana" na mambo ya uchawi wa Simba.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mwemed ni mwekezaj wa simba na ndio mwenyekit wa bodi ni sawa tu kusema haji kaajiliwa na mo afanye kaz simbaTumia japo chembe ya akili,Manara kaajiriwa na Simba au na Mwamedi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo sasa hivi Simba inamilikiwa na Mwamedi na ni sehemu ya Company ya MOETL?Mwemed ni mwekezaj wa simba na ndio mwenyekit wa bodi ni sawa tu kusema haji kaajiliwa na mo afanye kaz simba
Nawewe tumia akili ya kuzaliwa pia, haji kaajiriwa na Simba siyo mo dewji ila kampuni ya mo dewji ni wadhamini wa Simba na ipo kwenye jezi yetu pia. Kampuni hiyo ya mo dewji inafanya biashara ya bidhaa zinazofanana na za azam so anapozitangaza za azam it means anapingana na mdhamini wetu. Pia kutokana na makubaliano yake na hizo kampuni zingine hawezi kutangaza bidhaa za mdhamini wetu Mo extra kwenye page yake.Tumia japo chembe ya akili,Manara kaajiriwa na Simba au na Mwamedi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna makubaliano kuwa Manara atangaze bidhaa za Mwamedi kisa tuu ni mdhamini?Nawewe tumia akili ya kuzaliwa pia, haji kaajiriwa na Simba siyo mo dewji ila kampuni ya mo dewji ni wadhamini wa Simba na ipo kwenye jezi yetu pia. Kampuni hiyo ya mo dewji inafanya biashara ya bidhaa zinazofanana na za azam so anapozitangaza za azam it means anapingana na mdhamini wetu. Pia kutokana na makubaliano yake na hizo kampuni zingine hawezi kutangaza bidhaa za mdhamini wetu Mo extra kwenye page yake.
Pia kutokana na kuwa na makubaliano ya kimikataba na GSM, amekukuwa akitangaza biashara ya jezi za yanga. Is he still rolay to Simba?
Kwa hiyo sasa hivi Simba inamilikiwa na Mwamedi na ni sehemu ya Company ya MOETL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheh ndio biashara za kibongo! Boss anataka anaowanunia na wewe uwanunie πππWapumbavu humu wengi..
Kocha wa Liverpool ana Mkataba na Adidas
Licha ya Liverpool kuwa na Mkataba na Nike
Kuna mipumbavu humu mingi haijui kazi kuongea utumbo