The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Na ndiyo maana Simba wamemuambia aende huko ambako anapata maslahi mazuri na siyo kuwa pande zote, very simple.hata mimi siwez kutangaza kitiu ambacho hakinipi maslahi mapana...kuwa simba haina maana kuwa nitangaze biddhaa za mudi
Kipindi hicho simba haikuwa na mdhamini mwenye bidhaa zinazofanana na azam, mo alipoanza kuidhamini Simba Mambo yalitakiwa kubadilika. Kwani haji anapotangaza bidhaa ambazo hazihusiani na mdhamini wa Simba ushawahi kusikia mtu akilalamika.kabla ya mudi kuja simba na bidhaa zake hajji alikuwa yupo tyr na azam kwenye matangazo
Simba hawana uwezo wa kumfukuza Haji, watamuonya tu na kumwachaNa ndiyo maana Simba wamemuambia aende huko ambako anapata maslahi mazuri na siyo kuwa pande zote, very simple.
Kwanini unaamini hawana uwezo? Kwamba haji ni mkubwa kuliko Simba?Simba hawana uwezo wa kumfukuza Haji, watamuonya tu na kumwacha
Ni lazma kiukwel achague moja anapoona kuna maslai zaid lkn si kufanya kaz sehem zaid ya moja alaf ikizingatiwa izo sehem ni kama vile wapinzan kibiashara ata kimichezo kama anataka maslai zaid achague sehem moja au afanye kaz zaid ya moja ambazo haziingilianKwa hiyo kukiwa na ukaribu ndio atangaze biashara zao bila makubaliano,na pia aache kufanya kazi zenye maslahi kutoka kwa watu wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
haji ndio amesababisha mashabiki wanajaa viwanjani na kununua jezi za simbaKwanini unaamini hawana uwezo? Kwamba haji ni mkubwa kuliko Simba?
Rudia kusoma ulichoandika alafu tafakari kwa dakika 5.Haji ni mwajiriwa wa Simba so ni lazima atangaze bidhaa za wadhamini wetu kama mo extra, sportpesa na wengine hata kama Hana mkataba. Nenda kwenye page ya bumbuli ukaone anavyopost bidhaa za GSM ingawa Hana mkataba nao lakini ndiyo wadhamini wa club.
Amnaaaa haji manara so m2 mwnye makosa 7bu Simba anfnya kaz bila mkataba n kuus kuwa ambassador kW GSM n azam haifanyii manara atoe sir z simbaa....Kwa muda mrefu Haji amekuwa akijihusisha na GSM kama one of the brand ambassador na pia amekuwa brand ambassador wa wafadhili wa azam. Tatizo ni kwamba kuwa ambassador huko kwingine kunamnyima yeye nafasi ya kutangaza bidhaa za mtu ambaye amewekeza pesa nyingi pale Simba kwa sababu za kimikataba na hao wengine.
Sasa haiingii akilini, muajiriwa wasimba anashindwa kutangaza bidhaa za mdhamini wa Simba, ila anaenda kutangaza bidhaa za madhamini wa Yanga!
Hivi ishawahi kufikiria leo Hasan bumbuli awe na mkataba wa kibiashara na Mo dewji kutangaza bidhaa zake na mashabiki wa yanga wamuangalie tu?
Linapokuja swala la mshahara, Simba wanampa laki Saba huku hao wengine wanampa wakimpa zaidi ya million 5 Sasa unafikiri huyo anayempa million 5 akija kumuomba taarifa za huyu anayetoa laki 7 atakataa?? Ni halali viongozi wa Simba kuwa na mashaka na haji manara.
Si kwel ,ukwel ni kwamba tokea mo ajiingize ktk simba ndio apo mafanikio ya jez na mengine yamekuja kiufup club ikifanya vzur ni lazma mashanik waongezeke mapato yaongezeka brand inakua na mafanikio meng yanakuja kwa sababu ya matokeo mazur uwanjan,ebu angalia mfano wa mbal kidogo timu kama man u ,ilipata mafanikio mpaka kufikia timu inayosadikika kuwa na mashabk weng kwan walikua na mtu anawaita watu uwanjan au kuongea mafanikio yao yalitokana na matokeo angalia leo man u ilipo ,na ata simba kama wataendelea kufanya vzur kuanzia usajil viongoz matokea yakawa mazur uwanjan bas ata kama wakiwa na msemaj gan watu wataenda uwanjan na jez zitanunulika ma mashabik watajaa uwanjan na ktk tv haji alionekana anafanya vzur ni kwa sababu timu ilimbeba ,kama unakumbuka mwanzo haji alipata shida sana na jerry muro ni kwa sababu yanga ilikua na manji muro alitamba sana baada ya apo mo nae kuanza kuisapot simba ndio haji na yeye akawa juu ni kwa sababu ya matokeo ya timu yake yeye angekua anaongea sana alaf timu haifany vzur nan angemuelewa ,ukitaka kuamin ilo angalia ata mech za simba na yanga ni weng wameshaanza kuamin kaur zake za kuizalau sana yanga ndio zinaleta ugum simba kushindahaji ndio amesababisha mashabiki wanajaa viwanjani na kununua jezi za simba
Hakuna mwenye ushahidi, ila wanamshuku kwamba anauza Siri zaa club. Hivi wewe mtu anakulipa laki 7 na mwingine anampa million 4,. Huyu wa million 4 akiombwa Siri zaa club hawezi kumpa kweli? Then watu wanaunganisha na mienendo ya Haji na hao GSM then Wana conclude kuwa anaweza kuwa anawasaliti.Amnaaa haji manara
Amnaaaa haji manara so m2 mwnye makosa 7bu Simba anfnya kaz bila mkataba n kuus kuwa ambassador kW GSM n azam haifanyii manara atoe sir z simbaa....
hata mimi siwez kutangaza kitiu ambacho hakinipi maslahi mapana...kuwa simba haina maana kuwa nitangaze biddhaa za mudi