Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Mkuu katembelee huko Kizimkazi (Unguja kusini) ambayo ilikuwa haijulikani kimvuto wa kutembelewa na mtu yeyote kwa sasa ikoje utajua kwamba hujui
Je kabla ya Kikwete kuwa raisi uliwahi kuona barabara ya lami yoyote ikielekea msoga, au kabla ya hayati Magufuli kuwa raisi uliwahi kufikiri kuwa kuna siku chato itakuwa na uwanja wa ndege wa kisasa, barabara mpya na trafiki light mji mzima, hapo sijamuongelea Mkapa na daraja la Mkapa.

Labda mzee Mwinyi ndo alipasahau kwao mkuranga na hayati mwl Nyerere pia hakupaendeleza butiama.
 
.

4. Mwanza.
Mkoa wa Mwanza pia ni kama Dodoma. Ulikuwa na zali chini ya serikali ya awamu ya 5 ya hayati Magufuli, na bado umeendelea kuwa na bahati pia chini ya serikali hii ya awamu ya 6 ya raisi Samia.
Kwa mwanza hapo imekaa vizuri, kanda ya ziwa oyeeeeeeee
 
Nipo mbeya hapa. Yaani ni hovyo hakuna jipya la samia
Hata Yesu alipofanya miujiza ili wale wanaompinga waweze kuamini kupitia miujiza hiyo, bado wasioamini waliendelea kumpinga tu hadi leo.

Hivyo sishangai wewe kuona makubwa anayoyafanya raisi Samia na kujifanya hauyaoni.

Nnachofahamu moyoni unakubali ila machoni unajifanya kupinga ili na wewe uonekani ni miongoni mwa wale jamaa wa pinga pinga.
 
Huu ni uongo, unaangalia historia wa wabunge bila shaka. mkoa kama Geita chaguzi mbili kuu za zilizopita hakuna mbunge wa CCM ameshinda kwa haki. niamini! hata Mwanza na Kagera ni ubabe ulitumika
 
Ile mikoa ya Dubai na Oman umesahau mkuu.
 
Mradi muhimu kwa Mwanza yenye kumbukumbu na Rais Samia ataacha legacy kubwa kwa jiji la Mwanza ni jengo jipya kubwa la abiria la uwanja wa ndege na kupanua mapana ya Runner away ya ndege kwa hadhi ya kimataifa, needs almost 200 bn barabara njia 4 za kuingia na kutoka kwenye jiji Kenyatta Road na Nyerere Road atakuwa amewaenzi viongozi hao vinginevyo!
 
Manispaa ya singida toka aingie Samia imepata barabara nyungi za lami kuliko rais mwingine,,Pia Ikungi Dc imeimprove ubora wa rough road zake...

Shule mpya ndio usiseme ..
Kwangu mm Samia n bora kuliko magufuli kwa mkoa wa Singida
Huu ni ushahidi mwingine wa kazi kubwa ya Samia na kwamba amewafunika watangulizi wake wote.

Huu ukweli ndio unawauma wengine 😁😁
 
Manispaa ya singida toka aingie Samia imepata barabara nyungi za lami kuliko rais mwingine,,Pia Ikungi Dc imeimprove ubora wa rough road zake...

Shule mpya ndio usiseme ..
Kwangu mm Samia n bora kuliko magufuli kwa mkoa wa Singida
Shukran mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Nina imani huyo wa Singida atakuwa amekuelewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…